Msaada wa tiba

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
27
Msaada wanaJF,

Nahitaji dawa ya kutibia ugonjwa wa pua kuziba ila nikipenga kamasi hazitoki. Mara nyingine pia husababisha maumivu ya kichwa hasa katika paji la uso. Wenzetu wa Tanga ugonjwa huu huuita kambako(u).
 
kwanza kamuone Daktari ili ujue tatizo ni nini.Hii tabia ya kukimbilia dawa kabla ya kujua tatizo lilisababishwa na nini ni hatari sana.
 
Inawezekana uko mikoa yenye mawingu mengi. Huu ulinisumbua sana nilipokaa Arusha na Tanga hasa sehemu za milima.
Kama sikosei utakuwa na ugonjwa wa Low Blood pressure.
Dawa nzuri jaribu kubadilisha mazingira kama unaweza na nenda mikoa isiyo na milima na mawingu. Unaweza kukuta hiyo shida imeisha. Mie nimesha apa nikipangiwa kazi Arusha siendi. Labda niende kutembea au kupita ntavumilia pua kuziba na kichwa kuuma na kama sikosei mishipa usoni inakuwa imesimama,,,,,,,,,,,,,,,,
Nenda umuone Dr na atakupa maelezo zaidi.

Je kwenye familia yenu mna wagonjwa wa Asthma??
 
Jaribu kuchemsha maji moto halafu weka vicks kwenye hayo maji na ufanye kama unaji steam uso, au unajifunika na kitambaa usoni halafu unavuta hewa ya hiyo maji, pole sna kumbuka kwenda hospitali
 
tukijua unaishi wapi tunaweza kukusaidia .

Mimi naishi Dar es Salaam. Kwa kifupi nilishamuona mtaalamu wa ENT by then it was 2005 akarecommend upasuaji, upasuaji ulifanyika mwaka uliofuata kwasababu ilikuwa late 2005, ila hiyo hali imerudi tena. Nilikwenda tena kwa mtaalamu mwingine wa ENT nikamweleza hali yangu akanipiga picha (xray) anadai ile op ya kwanza ilikosewa ndo maana hali imerudi. Ukweli nimeishiwa nguvu natamani tiba mbadala na sio visu kila siku, kingine ninachohofia hiyo op ni kwamba hali inaweza ikajirudia tena!Shukrani kwa wote na majibu yenu.
 
Jaribu kuchemsha maji moto halafu weka vicks kwenye hayo maji na ufanye kama unaji steam uso, au unajifunika na kitambaa usoni halafu unavuta hewa ya hiyo maji, pole sna kumbuka kwenda hospitali

Thanks MR, I will try that one while rethinking kama nikubali kisu tena au la.
 
Inawezekana uko mikoa yenye mawingu mengi. Huu ulinisumbua sana nilipokaa Arusha na Tanga hasa sehemu za milima.
Kama sikosei utakuwa na ugonjwa wa Low Blood pressure.
Dawa nzuri jaribu kubadilisha mazingira kama unaweza na nenda mikoa isiyo na milima na mawingu. Unaweza kukuta hiyo shida imeisha. Mie nimesha apa nikipangiwa kazi Arusha siendi. Labda niende kutembea au kupita ntavumilia pua kuziba na kichwa kuuma na kama sikosei mishipa usoni inakuwa imesimama,,,,,,,,,,,,,,,,
Nenda umuone Dr na atakupa maelezo zaidi.

Je kwenye familia yenu mna wagonjwa wa Asthma??

Kuna ukweli kiasi kuhusu unayosema, nipo Dar ila kukiwa na mawingu ni kweli hali inazidi kuwa mbaya. Kuhusu Asthma hakuna case hiyo kwetu. Thanks for caring!
 
kwanza kamuone Daktari ili ujue tatizo ni nini.Hii tabia ya kukimbilia dawa kabla ya kujua tatizo lilisababishwa na nini ni hatari sana.

Mr. Kiroboto, asante kwa ushauri, nishaonana na mtaalamu wa ENT. Thanks once more!
 
Nadhani unaumwa POLYPSE ni vinyama vinavyoota puani na ukiwa alergic kwa vumbi au baridi basi vitabana na kuwasha sana. Nakushauri uende kwa Dr moja kwa moja manake huwa wanatoa dawa lakini vikiwa serious sana wanafanya minor operation na kuvichoma au kuvikata. Pole sana mkubwa!
 
Thanks, I did that already and the ENT specialist recommended another operation, I am still rethinking, thanks ndugu yangu.
 
Kuna ukweli kiasi kuhusu unayosema, nipo Dar ila kukiwa na mawingu ni kweli hali inazidi kuwa mbaya. Kuhusu Asthma hakuna case hiyo kwetu. Thanks for caring!
Inaweza isiwepo lakini ikaanzia kwako, so sio mbaya ukaenda kuicheki pia
 
Msaada wanaJF,

Nahitaji dawa ya kutibia ugonjwa wa pua kuziba ila nikipenga kamasi hazitoki. Mara nyingine pia husababisha maumivu ya kichwa hasa katika paji la uso. Wenzetu wa Tanga ugonjwa huu huuita kambako(u).

mkuu ulifanikiwa tiba? nina tatizo kama lako kwa mtoto, naomba nifahamishe kama ulifanikiwa na ulitumia tiba gani, ahsante
 
Msaada wanaJF,

Nahitaji dawa ya kutibia ugonjwa wa pua kuziba ila nikipenga kamasi hazitoki. Mara nyingine pia husababisha maumivu ya kichwa hasa katika paji la uso. Wenzetu wa Tanga ugonjwa huu huuita kambako(u).

Nenda EKENYWA DISPENSARY ukapate tiba ya ENT. Pole sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom