Msaada wa tiba ya tonsils

The Conscious

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
459
699
Wakuu polen kwa majukum,
Nimekuw nasumbuliwa na tonsils mara kwa mara maumiv shingon nashindw kula vizur,siwez kuongea coz napat maumiv, nmeenda pharmacy nimepew daw lakin sion kam zinaniletea nafuu
Kwa wanaoelew tatizo hil tafadhal naomba mnisaidie dawa inayoweza kutib hili tatizo,dawa yoyote iwe ya hospital au hat ya kienyeji..
 
Inaitwa Avamys Nasal Spray ni KIBOKO narudia tena ni KIBOKO kanunue 15k thanks me later
 
Suluhisho ni kuziondoa,
Nenda hospital watakufanyia operation ya kuzikata na biashara inakua imeisha utakunywa vi vya baridi kwa raha zako hata Homa Homa zitapungua maana huwa zinaleta Homa sana.

Me Nilienda nikamwambia Doc nimechoka kunywa dawa mara kwa mara nataka nizikate basi.
Sasa hivi na enjoy tu full burudani
 
Gharama zake zipo vp mkuu na hospital gan ulipata iyo huduma
 
Suluhisho ni kuziondoa,
Nenda hospital watakufanyia operation ya kuzikata na biashara inakua imeisha utakunywa vi vya baridi kwa raha zako hata Homa Homa zitapungua maana huwa zinaleta Homa sana.

Me Nilienda nikamwambia Doc nimechoka kunywa dawa mara kwa mara nataka nizikate basi.
Sasa hivi na enjoy tu full burudani

sorry dear naomba unielezee hiyo operation inakuwaje na je inachukua muda gani kurecover?
 
Ni minor operation so uiishafanyiwa unaweza kuruhusiwa kuondoka, kama umeshakaa sawa.

Kurecover ni week tu ukifwata masharti ya Doc, Yaani kunywa vitu vya baridi kama sprite baridiiii, vitu vyepesi visivyo na chumvi, mtori, supu uji na viwe vimepoa
 
Back
Top Bottom