msaada wa tatizo la allergy ya ngozi tafadhali.

speechless

Senior Member
Oct 1, 2013
101
26
habari wana jf Doctor bilashaka muwazima wa afya! bila kupoteza muda ningependa kuuliza ni hosptal ipi kwa DAR naweza pata matibabu ya allergy ya ngozi na ghalama zake zikoje? Natanguliza shukurani kw wote mtakao toa msaa wa mawazo yenu.
 
Kuna hosptal flani ipo sinza kwa bahati mbaya nimesahau jina la hyo hosptal mana nilienda zamani sana ni nzuri kwa tatizo hlo embu jaribu kuulizia vzuri uende huko! Ila jiandae gharama zake zipo juu!
 
asante mkuu bilashaka ntakuwa nishajua wapi naweza kuanza kufuatilia tiba hii!
 
Kuna specialist wa ngozi dr, Massawe kama sijakosea,, clinic yake ipo kwenye kona ya kwenda muhimbili kama unatokea shule ya jangwani.. kumuona kama sikosei ni elf 20,, try him.. and all the best
NB Exactly allergy ya nini unayo?? najua umesema kwenye ngozi lakini,, unajua ni nini ina trigger,, na ngozi inakuwaje??
 
ni allergy ya muda mrefu toka utoto na tatizo kubwa n kwmba ngozi inapoteza rangi yake ya asili na kuwa nyeupe kwa baadhi maeneo na hakuna muwasho wa aina yoyote, mabadiliko yanaonekana hasa kuanzia shingoni kushuka chini na sijajua kama tatizo ni chakula ama kitu kingine.
 
Kuna tatizo linaitwa vitiligo sasa sina hakika kama ni hilo au ni tinea corporis aina ya fungus fulani ya mwili.... Kuna daktari mwingine yupo kairuki anaitwa dr. Kishengele nadhani bado yupo ni dermatologist mzuri pia.. atakusaidia.
 
Back
Top Bottom