Msaada wa tafsiri za ndoto yangu

JESONS

Member
Aug 28, 2021
72
30
Hope mu wazima waungwana mie mdogo wenu nimekuja nnaombi la kutafsiriwa ndoto kwa atakaekuwa anajua kutafsiri anisaidie tafazari.

Huwa nna mchumba wangu iv karbuni anahisi yu mjamzito kwa pamoja tumeota ndoto hiz kwa wakati tofauti.

MM - NIlikuwa maeneo na washkaji zangu gafla akaja mtoto akinilalamikia kuwa nimemwacha mama yake anaumwa na cjaenda kumwona kwa mda mrefu aliendelea kulalamika nikiwa namshangaa kwani ata mama ake huyo ckuwa namjua nilijitahidi kumuuliza mama yake yupi alizidi kulia na kulaumu.

Nilimuacha pale nikaenda ndani ilenatoka akaja mwingne tena nae analalamika hivyo hivyo mwisho akasema mama kasema usipo enda kumjulia hali ucjemtafta tena YA MCHUMBA NI aliota anajifungua gafla yupo hospital kalazwa majikan wananipgia cm nasema nipo mbali nikaambiwa nitume pesa nikasema sina pesa huku nikihimiza hao marafiki zake wamtibie

NATANGURZA SHUKRAN WANDUGU
 
Kama ni mjamzito jikabidhini kwa MwenyeziMungu tu na umuombee huyo mkeo sijui mchumba ila hayo mambo ya ndoto ndoto achana nayo yatakutoa kwenye reli.

Itakuwa kila siku ukiota utataka upate tafsri ya kile ulichoota.si kila ndoto inakuwa na maana yenye umuhimu zingine ni za matukio tu tuliyoyapitia katika maisha yetu or vitu tunavyoviwaza sana.

Kitu gani kimekufanya utake kujua tafsiri ya hiyo ndoto? Bila shaka ni hilo suala LA ujauzito tu kitu ambacho mmekuwa mkikijadili or kukizungumzia Mara kwa mara.

Nakushauri Kama una shughuli zingine za kujiingizia kipato Endelea nazo tu achana na hizo habari za ndoto.
 
Shukran kaka kwa ushauri ntauzingatia
 
Shukran kaka kwa ushauri ntauzingatia

Lakin mkuu ukion ndoto imekufanya ukaiwaza sana ujue ina meaning..
Issue apo kweny iyo ndoto naona auko na utayari wa kulea mtoto..uyo mchumba wako akijifungua utakuwa close sna na washkaji kuliko uyo mchumba wako na mtoto...
So be careful utaloose kilicho bora
 
Hope mu wazima waungwana mie mdogo wenu nimekuja nnaombi la kutafsiriwa ndoto kwa atakaekuwa anajua kutafsiri anisaidie tafazari.
Huwa nna mchumba wangu iv karbuni anahisi yu mjamzito kwa pamoja tumeota ndoto hiz kwa wakati tofauti.
MM - NIlikuwa maeneo na washkaji zangu gafla akaja mtoto akinilalamikia kuwa nimemwacha mama yake anaumwa na cjaenda kumwona kwa mda mrefu aliendelea kulalamika nikiwa namshangaa kwani ata mama ake huyo ckuwa namjua nilijitahidi kumuuliza mama yake yupi alizidi kulia na kulaumu. Nilimuacha pale nikaenda ndani ilenatoka akaja mwingne tena nae analalamika hivyo hivyo mwisho akasema mama kasema usipo enda kumjulia hali ucjemtafta tena
YA MCHUMBA NI
aliota anajifungua gafla yupo hospital kalazwa majikan wananipgia cm nasema nipo mbali nikaambiwa nitume pesa nikasema sina pesa huku nikihimiza hao marafiki zake wamtibie

NATANGURZA SHUKRAN WANDUGU
Mkuu maranyingi ndoto hazina tafsiri ya moja kwa moja. Nikiwa na maana kuwa tafsiri ya ndoto hutegemea ni hisia gani ulikuwa nazo wakati hayo matukio yanatokea kwenye ndoto yako.

Ngoja nikuulize kitu kimoja...

Je wakati huyo mtoto anakulalamikia kuhusu mama yake ulijihisi unauwezo wa kumsaidia huyo mama yake endapo huyo mtoto angeweza kujielezea vizuri? Au ulijihisi huyo mtoto anataka akuongezee changamoto nyingine mbali ya zile ulizonazo?

Na ni kwanini labda uliamua kuingia ndani? kama unaweza kukumbuka...

Je uliingia ndani ili kuyakwepa hayo matatizo anayokuelezea huyo mtoto au kuna jambo lingine lilikufanya uingie ndani?

Nijibu kwanza hayo mkuu... na nadhani wakati unanijibu utakuwa umeshapata mwanga kuhusu maana ya hiyo ndoto yako.
 
Yap mkuu nilijihisi mwenye hatia na niliitaj kumjua huyo mama ake anaedai cjaenda kumwona
Na ndani niliingia kucheki cm ilinione hizo text na call alizopiga mama ake ili nijue ni yupi huyo
Kuhusu mood wa kumsaidia nilikuwa nao sana
 
Back
Top Bottom