Msaada wa Tafsiri ya Neno hili

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
WanaJamii
Habari ya mchana, poleni na majukumu na tafakuri za hapa na pale
Wandugu, nina thesis naiandika kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na nahitajika kutumia neno kuchakachua kwa kiingereza.. Naombeni msaada wenu kama kuna neno zuri zaidi la kiingereza chake naweza kulitumia.
.

Shukran
 
Neno ili inategemea na unapotaka kulitumi... Kwa ufupi ni kupindisha ukweli... kama unataka kulitumia kwenye mambo ya uchaguzi!
 
WanaJamii
Habari ya mchana, poleni na majukumu na tafakuri za hapa na pale
Wandugu, nina thesis naiandika kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na nahitajika kutumia neno kuchakachua kwa kiingereza.. Naombeni msaada wenu kama kuna neno zuri zaidi la kiingereza chake naweza kulitumia.
.

Shukran

Kuchakachua uchaguzi hiki ni kiswahili tu cha muda mfupi. Neno kuchakachua kwa kiingereza ni Adulteration, lakini si sahihi kulitumia kwenye thesis kwa maana ya sasa. Badala yake tumia-Rigging the election. The election was rigged.
 
Depending on the context in elections, kuchakachua means "rigging" the elections in general and "manipulation, alteration" of the results or votes in particular.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom