kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Habari wapendwa kuna jambo nimekuwa nasoma tu kwenye mitandao kuhusu mambo ya nyota na maana zake nilikuwa naomba kuuliza hizi chati huwa zina maana gani hasa yaani zinaonesha nini kwa sisi binadamu na inahusiano gani na maisha/mafanikio yetu . binadamu
Kuna picha nime download nipeni maana ya huu mchoro na elimu yake kiujumla kwa faida ya wote humu
Kuna picha nime download nipeni maana ya huu mchoro na elimu yake kiujumla kwa faida ya wote humu