Msaada wa tafsiri hii chati ya born chart ina maana gani?

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Habari wapendwa kuna jambo nimekuwa nasoma tu kwenye mitandao kuhusu mambo ya nyota na maana zake nilikuwa naomba kuuliza hizi chati huwa zina maana gani hasa yaani zinaonesha nini kwa sisi binadamu na inahusiano gani na maisha/mafanikio yetu . binadamu

Kuna picha nime download nipeni maana ya huu mchoro na elimu yake kiujumla kwa faida ya wote humu
PhotoGrid_1530874889041.jpg
 
Kuna picha nime download nipeni maana ya huu mchoro na elimu yake kiujumla kwa faida ya wote humu-????????????????????
 
Kwani hapo ulipo download hujakutana na maelezo au hujayaelewa?
 
Back
Top Bottom