Msaada wa taarifa ya generator ya kukodi

Reasoning

Member
Mar 7, 2009
57
15
MSAADA WA TAARIFA YA GENERATOR YA KUKODI

Naomba kama kuna yeyote anajua mahali ninapoweza kukodi generator anitaarifu tafadhali. Niko DSM na nahitaji generator kwa ajili ya kufanyia fitting ya madirisha ya chuma (grills) kwenye nyumba ambayo haina umeme
 
Last edited:
Back
Top Bottom