Msaada wa sumsung galax s6edge inapata moto sana

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
439
240
Habari wana jamii forum nimeamua kujichangachanga nikanunua simu samsung galax s6 edge mpyaaaa kweli kako vizuri ila hii simu nikiwasha data inaapata moto mnooo afu haitunzi charge, nikicharge naweza itumia saa moja tu nacharge tena ila nisipowasha data inakaa hata masaa 4 na kuendelea ila nikiwasha data niangalie kitu youtube au insta au hapa jf saa imepuputika yote hadi ziro. Nisimu ilivyo au nimbovu au mimi makosea wapi nisaodieni kwa anae jua
 
samsung nyingi zipo ivyo, solution pekee ni kuifanyia utundu kidogo, unaweka custom rom kama cynogen mod ivi, unairoot, unafuta
system apps zote ambazo kimsingi huzitumii, na kwa iyo rom utawezashusha processor speed
nimefanya ivyo kwa baadhi ya samsung kama S4 Mini 9192, S4 Mini 9195 na S5 Mini,

S4 mini nimeshuhsa speed kutoka 2000MHz ivi mpaka 380Mhz, amna cha heat wala babaake heat
 
Nafanyaje hiyo proces
 
Hiyo mpya umenunua wapi? Wewe itakuwa umeuziwa na box ukajua mpya,
 
Nafanyaje hiyo proces
mkuu iko techy kidogo, nadhani gugo itasaidia maana ni kamlolongo

1. install cynogen mod ( zipo nyingi ila nasuggest hii , kitkat itapendeza)

2. fanya android rooting, kwa kingroot

3. then futa iyo mi apps + punguza spidi ya prosesa

iyo ni kwa ufupi tu, kama nilivyosema, gugo iusike

Ahsante
 
Swala unalomshauri ni zuri ila ni sawa na kununua range alafu wataka itembee kama Vits. Kwa nini ununue simu nzuri alafu uipunguze speed iwe na performance kama tecno
 
Habari wana jamii forum nimeamua kujichangachanga nikanunua simu samsung galax s6 edge mpyaaaa kweli kako vizuri ila hii simu nikiwasha data inaapata moto mnooo afu haitunzi charge, nikicharge naweza itumia saa moja tu nacharge tena ila nisipowasha data inakaa hata masaa 4 na kuendelea ila nikiwasha data niangalie kitu youtube au insta au hapa jf saa imepuputika yote hadi ziro. Nisimu ilivyo au nimbovu au mimi makosea wapi nisaodieni kwa anae jua
Kwanini usiirudishe? Why ununue simu mpya halafu ikukere?
 
samsung nyingi zipo ivyo, solution pekee ni kuifanyia utundu kidogo, unaweka custom rom kama cynogen mod ivi, unairoot, unafuta
system apps zote ambazo kimsingi huzitumii, na kwa iyo rom utawezashusha processor speed
nimefanya ivyo kwa baadhi ya samsung kama S4 Mini 9192, S4 Mini 9195 na S5 Mini,

S4 mini nimeshuhsa speed kutoka 2000MHz ivi mpaka 380Mhz, amna cha heat wala babaake heat
dope
mkuu iko techy kidogo, nadhani gugo itasaidia maana ni kamlolongo

1. install cynogen mod ( zipo nyingi ila nasuggest hii , kitkat itapendeza)

2. fanya android rooting, kwa kingroot

3. then futa iyo mi apps + punguza spidi ya prosesa

iyo ni kwa ufupi tu, kama nilivyosema, gugo iusike

Ahsante
 
Simu kupata moto inategemeana Sana na matumizi ya simu yenyewe, ila pia zipo sababu nyingine nyingi zinazofanya simu kupata moto na nyingi zinasababishwa na matatizo mbalimbali ya simu. Soma hapa - Programu 5 Zinazoweza Kusaidia Kupunguza Simu Kupata Moto/ kuna baadhi ya App zinaweza kukusaidia kupunguza simu kupata joto, pia hakikisha unatoa kava la simu yako mara kwa mara unapotumia simu yako kwa muda mrefu.
 
mkuu iko techy kidogo, nadhani gugo itasaidia maana ni kamlolongo

1. install cynogen mod ( zipo nyingi ila nasuggest hii , kitkat itapendeza)

2. fanya android rooting, kwa kingroot

3. then futa iyo mi apps + punguza spidi ya prosesa

iyo ni kwa ufupi tu, kama nilivyosema, gugo iusike

Ahsante
Hiyo cynogen mod ina kazi gani mkuu. Maana naiskiaga sana sasa sijui ina deal na nini hasa.
 
Pole kiongozi tafuta cover yake itapunguza.
ujue hii misimu ina mambo mengi sana.
Kuna ya jamaa angu betri limekufa.kimbembe bei ya betri.
Unapata smart phone ya techno mtaani
 
Back
Top Bottom