Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

mulumbu

Member
Jan 25, 2015
26
15
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu.

Asante
 
True, nlijaribu kumpgia mmoja ana branch mbeya, cku nzma hakupokea, nkapewa namba ya DSE, wakanishauri nitumie app ya DSE Hisa kiganjani, au nifike tawi la CRDB.

Kwa app waweza nunua at your time, cjajaribu bado kujisajili, lakini nimeipakua, nataka kucheck na CRDB nione
 
App umepakua wapi mkuu, tutumie link
 
App umepakua wapi mkuu, tutumie link
Playstore

Screenshot_20201128-194829.jpg
 
You welcome. Nimefika hapa sbb nlikuwa natafta watu wenye interest kama zangu na stocks, npate kampani ya kushauriana kuhusu ipi itakuwa profitable in the long run... I buy, and hold. Huwa cjawaza kuuza.
Wazo zuri kununua na kuhold kwa muda kwaajili ya growth, wwkati wa kununua kwa app unatakiwa uchaguz broker. Changamoto ipo hapo, nani ni responsive Kwenye hio list.
 
Mimi namtumia Orbit zaidi ya miaka mitano sasa....Yuko poa. Ila hata Solomon nao pia nadhani wako vizuri japo sijawahi fanya nao kazi ila nawasalianaga nao kwa social media yao i.e IG na wako responsive sana.
 
Mimi namtumia Orbit zaidi ya miaka mitano sasa....yuko poa. Ila hata Solomon nao pia nadhani wako vizuri japo sijawahi fanya nao kazi ila nawasalianaga nao kwa social media yao i.e IG na wako responsive sana.
Shukrani sana, nitajaribu Orbit
 
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu.

Asante
Watafute Orbit Securities wako jengo la wastaafu( Golden Jubilee) posta Dsm ghorofa ya nne.
 
Is JATU PLC shares a good buy? Au we have to wait. Nimetembelea web yao [ https://jatu.co.tz/ ], lakini cjaona kitu kinachonipa confidence ya long holding.

My main objective ninaponunua shares ni kupata dividends, sio kununua and kusubiri share zipande thamani niuze.
JATU idea yao ni nzuri na bidhaa zao hata miaka 100 zina soko, issue ni business model walioiichagua.

Sioni kama ni sustainable maana ni ponzi scheme
 
https://africanfinancials.com/tanzania-cigarette-plc-dividend-september-2019/ Is JATU PLC shares a good buy? Au we have to wait. Nimetembelea web yao , lakini cjaona kitu kinachonipa confidence ya long holding.

My main objective ninaponunua shares ni kupata dividends, sio kununua and kusubiri share zipande thamani niuze.
Kwwa mawazo yangu ni heri ununue treasury bonds kuliko kusubiri dividends. Treasury bonds ni risk free wakati kupata dividends sio kitu cha uhakika. Chukua mfano wa TCC, share price ni shs 17,000 na dividends kwa share mwaka 2019 ni shs 300. Assume hii itaendelea mpaka 2020, ni sawa na return ya 1.76% kwa mwaka. ambayo ni ndogo mno. Ukiangalia hapa, utaona kuwa Treasury bonds ya miaka miwili unapata 7.82% kwa mwaka. Naamini kuna benki ambazo wanatoa interest kubwa kwenye fixed deposit kuliko ya Treasury bonds. TPB walikuwa wanatoa 12% per annum, sijui kama wanaendelea. Fanya utafiti.
 
Fixed Account NMB wana 15% per annum
 
Basi nunua CRDB na NMB
NMB iko vizuri sana, mana government inaitumia kwa transactions zake, so projections zake ziko vizuri, ila nahc wengi wamenunua shares (good projections=high demand of shares, ndo mana bei yake ni kubwa), na kama nyng zimeuzwa, dividend value per share inakuwa ndogo.

Kwa CRDB, projections zake nimeona kwa web flan bei kufika 220Tsh, zinaweza kuwa nice buy, lakini benk haina back up nzuri sana.

Ikumbukwe, dividends value ni amount ya profit gawanya kwa idadi ya shares...
 
Kwwa mawazo yangu ni heri ununue treasury bonds kuliko kusubiri dividends. Treasury bonds ni risk free wakati kupata dividends sio kitu cha uhakika. Chukua mfano wa TCC, share price ni shs 17,000 na dividends kwa share mwaka 2019 ni shs 300. Assume hii itaendelea mpaka 2020, ni sawa na return ya 1.76% kwa mwaka. ambayo ni ndogo mno. Ukiangalia hapa, utaona kuwa Treasury bonds ya miaka miwili unapata 7.82% kwa mwaka. Naamini kuna benki ambazo wanatoa interest kubwa kwenye fixed deposit kuliko ya Treasury bonds. TPB walikuwa wanatoa 12% per annum, sijui kama wanaendelea. Fanya utafiti.
Inaweza kuwa sawa, lakini dividend huwa haiwi same amount. Inabadilika kuendana na profit made. And, return zake ni yearly, pia, shares zaweza panda thamani ukauza pia.
 
JATU idea yao ni nzuri na bidhaa zao hata miaka 100 zina soko, issue ni business model walioiichagua.

Sioni kama ni sustainable maana ni ponzi scheme
Exactly, hili ndo lililonitafakarisha sana
 
Inaweza kuwa sawa, lakini dividend huwa haiwi same amount. Inabadilika kuendana na profit made. And, return zake ni yearly, pia, shares zaweza panda thamani ukauza pia.
Kweli, lakini katika kufanya uamuzi wa kununua au kutokununua share, lazima ufanye some assumptions na comparisons of different alternatives. Kama mwaka jana walipata dividend ya shs 300 kwa share, na hakuna kitu kipya ambacho TTC wametangaza au kimetokea ambacho kitaathiri profit ya mwaka huu, mfano kupigwa marufuku uvutaji wa sigara katika masoko muhimu, hivyo assumption ni kuwa hata mwaka huu dividend haitatofautiana sana na ya mwaka jana. Jamaa yeye anasma lengo lake ni kupata dividend na sio kuuza share zikipanda bei.
 
Back
Top Bottom