mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Ni Engine ambayo haina hayo ma turbo(supercharger or turbocharger).Iyo natura aspired engine ndo ipoje
Ni Engine ambayo haina hayo ma turbo(supercharger or turbocharger).Iyo natura aspired engine ndo ipoje
Mmmh super charge na turbo charger nfo zipojeNi Engine ambayo haina hayo ma turbo(supercharger or turbocharger).
Sasa wote wanaishi dar... Kama yupo nkasi hukoAch
Acha uongo wewe jamaa,spare za subaru zipo nyingi na kuna maduka yapo special kwa ajili ya subaru tu nenda mtaa Livingstone kariakoo,mwenge,posta kote utapata spare zake.
Spare zake ni genuine hamna za kuchakachua kama TOYOTA
Iyo natura aspired engine ndo ipoje
Mmmh super charge na turbo charger nfo zipoje
Mimi nitaeleza kuhusu turbocharger.....Mmmh super charge na turbo charger nfo zipoje
haya maswali ni ya msingi sana ila yanaweza kukuchekesha mpaka basi,
Hapa mdau anataka aelewe engine zinakuwaje hizo halafu wewe unaongea nae kama anazifahamu unamuongezea nyama tu
BMW x3 ni premier car acha kufananisha na gari za wavuta bangeHuifahamu x3 2011 kuendelea sio gari ya kulinganisha na foresta labda Kama budget inasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app