Hello JF members! Sorry I am in need of SPSS software as it is needed in my research and I am in very remote area in Tabora. Please do me a favor how I can get it. Thanks in advance
Thanks a lot! Let me try it out and I will let u know.
HI wajameni. naomba msaada wa software ya SPSS, version yeyote ile kuanzia SPSS 10. Natanguliza shukrani
HI wajameni. naomba msaada wa software ya SPSS, version yeyote ile kuanzia SPSS 10. Natanguliza shukrani
kwa yeyote mwenye software ya spss tafadhari anisaidie ninaihitaji sana
Nitumie email yako lakini laptop yako inatakiwa iwe Na 64 bits sina ya 32 bits
Nitumie email yako lakini laptop yako inatakiwa iwe Na 64 bits sina ya 32 bits
Mkuu ninatumia iPhone ile ipo Kwa computer kama unaitaka nitumie email yako
mkuu nimekuandikia email yangu hapo lakini bado sijapata hyo software