Ingia setting/app then click jamii forums kisha select select palipoandikwa clear cache.Habar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
Hyo ni ver ya china?Nina Samsung GT N7000 imegoma ku install Google play store.. Msaada namna ya kufanya plz
1. unatumia nini kuingilia jamiiforums? app au browser? kama ni browser unatumia ipi? chrome, opera etcHabar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
Asante mkuu umenipa mwanga hapoMi natumia simu kama yako Tecno C8 Na sometime inakuwa na hilo tatzo ila nalisove kwa kurestart simu,Nikisharestart simu na tatizo linakuwa halipo na hilo tatizo linakuja kama nitatumia simu muda mrefu na kwa mambo mengi bila kuirestat.
Ushauri kurestat simu ni kama unavyo Reflash laptop yako ili iwe nyepesi na simu inaitaji hivyo hivyo ile zile tabs zilizopo zitoke na kuiacha simu ikiwa nyepesi kuwa na mazoea ya kurestart simu yako kila unavyoona umeitumia muda mrefu.
Poa mkuuAsante mkuu umenipa mwanga hapo
kuna simu ya jamaa mi km fundi huwa natengeneza lkn sasa kila akileta namminya elfu 10I used to have same kind of phone.
Zina matatizo sana C8, nilimpata mnyonge nikambambika. Mara inastack mara inakuwa slow.
Sina suluhisho ila unaweza kuiuza tu maana kwanza zinashapitwa na wakati
Hahah we jamaa hatari sana, mhurumie mwenzio umwambie hata aiuze tukuna simu ya jamaa mi km fundi huwa natengeneza lkn sasa kila akileta namminya elfu 10
nilimwambia tuweke circuit mpya hataki etii hn elaHahah we jamaa hatari sana, mhurumie mwenzio umwambie hata aiuze tu
Hata yangu Mkuu muda wowote itakaHabar zenu wakuu, sim yangu ni tecno C8 inatatizo ukiwa unasoma thread tena hii ya jamiiforamu mfano unasoma maada harafu unakuwa unaangalia comment, mara inarud kawaida katka screen, non tatizo wakuu msaada pls,
Mi natumia simu kama yako Tecno C8 Na sometime inakuwa na hilo tatzo ila nalisove kwa kurestart simu,Nikisharestart simu na tatizo linakuwa halipo na hilo tatizo linakuja kama nitatumia simu muda mrefu na kwa mambo mengi bila kuirestat.
Ushauri kurestat simu ni kama unavyo Reflash laptop yako ili iwe nyepesi na simu inaitaji hivyo hivyo ile zile tabs zilizopo zitoke na kuiacha simu ikiwa nyepesi kuwa na mazoea ya kurestart simu yako kila unavyoona umeitumia muda mrefu.