Hizi shule ni nzuri shida ipo kwenye kupata nafasi,pili kwa gharama alizotaja hawezi pata nafasi kwenye hizi shule, make hizi shule unaweza kuwa na ada ya kulipa hata semester zote na usipate nafasi, hizi shule zina wenyewe.Marian girls Bagamoyo, Feza, Marian boys, Loyola.
Nitajie zingine bac ambazo ni nzuriKwa hiyo ada utapata!! Ila ukijumuisha na gharama nyingine utakazotakiwa kulipa hiyo hela uliyosema ni ndogo...mfano ada yenyewe inaweza kuwa laki9 lakini gharama za chakula na mambo mengine ikawa 2mil!
Ipo shule,tena ni high classic na ada yake ni ya kawaida tu bila shaka utaweza kuimudu,inapatikana boko jijini dar-es-salaam,kama upo tayari nichek 0656415981.Shule yeyote yenye mchipuo au comb ya PCB iliyopo mikoa ya dar, morogoro Na pwani ADA ianzie 800000 hadi 1500000
Ongeza na St Joseph Cathedral..Marian girls Bagamoyo, Feza, Marian boys, Loyola.
Mbona ilboru wanakula ugali maharage kila siku.....Sasa we unataka aje ale ugali maharage kila siku
Angalia fungu lake mkuu haimruhusu kuingia shule hizo.Marian girls Bagamoyo, Feza, Marian boys, Loyola.