Msaada wa shule nzuri ya private ya A-level

Toofast

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
424
683
Habari wakuu, Natafuta shule yeyote yenye mchepuo au combination ya PCB iliyopo mikoa ya Dar, Morogoro na Pwani. Ada ianzie 800000 hadi 1500000.

Nitashukuru sana mkinisaidia.
 
Marian girls Bagamoyo, Feza, Marian boys, Loyola.
Hizi shule ni nzuri shida ipo kwenye kupata nafasi,pili kwa gharama alizotaja hawezi pata nafasi kwenye hizi shule, make hizi shule unaweza kuwa na ada ya kulipa hata semester zote na usipate nafasi, hizi shule zina wenyewe.
 
Kwa hiyo ada utapata!! Ila ukijumuisha na gharama nyingine utakazotakiwa kulipa hiyo hela uliyosema ni ndogo...mfano ada yenyewe inaweza kuwa laki9 lakini gharama za chakula na mambo mengine ikawa 2mil!
 
Kwa hiyo ada utapata!! Ila ukijumuisha na gharama nyingine utakazotakiwa kulipa hiyo hela uliyosema ni ndogo...mfano ada yenyewe inaweza kuwa laki9 lakini gharama za chakula na mambo mengine ikawa 2mil!
Nitajie zingine bac ambazo ni nzuri
 
Ongeza kidogo Hiyo hela nikujie shule nzuri au ondoa "nzuri" weka shule ya private A level mkuu Kwenye ada hapo utapata za kawaida
 
Shule yeyote yenye mchipuo au comb ya PCB iliyopo mikoa ya dar, morogoro Na pwani ADA ianzie 800000 hadi 1500000
Ipo shule,tena ni high classic na ada yake ni ya kawaida tu bila shaka utaweza kuimudu,inapatikana boko jijini dar-es-salaam,kama upo tayari nichek 0656415981.
 
Mbona huku serikalini elimu bure.
Sasa nimejua kumbe wanaosema walimu hatuzalishi kumbe tunazalisha unit tu inagharimu mpaka 3milions big up kwetu
Halafu salary ya govt. njiwa hakuna posho wala nini ni mwezi hadi mwezi wengine wanaongezewa kika uchao.
Ok
 
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi yakufundisha. Mimi ni mhitimu wachuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na geographia. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia nina uwezo wakufundisha collage. Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.
 
Back
Top Bottom