Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

Siwahi kusikia sheria kama hiyo. Kama unazungumzia Corporate Governance mpaka sasa tunatumia tuu reference za watu wengine kama ECSAFA, South Africa nk.
 
japo sijajua unataka nini, nashauri uingie website ya bunge. angalia kwenye documents, acts then type mwaka kama unaujua utapata choices.
 
japo sijajua unataka nini, nashauri uingie website ya bunge. angalia kwenye documents, acts then type mwaka kama unaujua utapata choices.

Labda mimi lugha ya Kiingereza siielewi vizuri. Code of good practice.....kuna sheria ya hivyo kweli?

Ndiyo maana huwaga nasema hizi sheria zilizoandikwa kwa Kiingereza sijui zimeandikwa kwa sababu ya nani manake Watanzania wengi hatujui Kiingereza na ndiyo maana tunapata shida sana hata kuelewa kilichoandikwa.
 
Nimejabu kufanya hivyo lakini sijafanikiwa mpaka sasa
naletewa sheria ya kazi ya 2004, employment and labour relation act .

japo sijajua unataka nini, nashauri uingie website ya bunge. angalia kwenye documents, acts then type mwaka kama unaujua utapata choices.
 
CODE OF GOOD PRACTICE: CONDUCT AND CAPACITY. 1 Introduction to the labour law: conduct and capacity. (1) This code of good practice deals with some ...

Something is wrong with that language. It is inadequate thus creating room for ambiguity.
 
Jaribu hii kama una maanisha Good Corporate Governance
 
Attachments

  • King 2.pdf
    137.4 KB · Views: 630
Tafadhali wakuu
Naomba mnisaidie kupata sheria hiyo
Nina shida nayo haraka sana.
Asanteni sana

Code of good practice sio sheria. Code of good practice ni set of rules zinazotoa majukumu au proper practice kwa prefossion fulani, organization, etc. Tofauti na sheria, code of practice are not passed by Parliament and are not universally applicabale. kwa mfano, code of practice for the Pharmaceutical Industry would not apply to the mining industry. Code of Practice for civil servants would not apply to employees in the private sector. Unaweza hata ukakuta code of practice ya hosipitali ya Muhimbili ni tofauti na code of practice ya hosipitali ya KCMC.
 
Asante sana kiongozi
Je naweza kupata Code of Good Conduct and Practice ya Mining Industry na Academic Institutions?
Tafadhali msaada wako mkuu

Code of good practice sio sheria. Code of good practice ni set of rules zinazotoa majukumu au proper practice kwa prefossion fulani, organization, etc. Tofauti na sheria, code of practice are not passed by Parliament and are not universally applicabale. kwa mfano, code of practice for the Pharmaceutical Industry would not apply to the mining industry. Code of Practice for civil servants would not apply to employees in the private sector. Unaweza hata ukakuta code of practice ya hosipitali ya Muhimbili ni tofauti na code of practice ya hosipitali ya KCMC.
 
FF, tulichonacho Tanzania kwasasa na kwa upande wa mambo ya Kazi hususani juu ya Nidhamu kazini: kuna Kitu kinaitwa REGULATIONS AND RULES: CODE OF CONDUCT AND CONDUCT PRACTICES kwa kujaribu kuhainisha nini kinatakiwa kufuatwa ili mahusiano mazuri kazini yaimalike na atimaye uzalishaji uimalike.
Hivyo katika hilo tembelea Ofisi za Idara Kazi au kwenye ofisi za 2ume ya Usuluhishi na Uamuzi zilizoko karibe na wewe: maelezo mazuri na kwa kina utayapata..
 
Ipo mwaya inaitwa THE EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS (CODE OF GOOD PRACTICE) RULES,2007. ingia kwenye website ya bunge utaipata. au nenda Government Bookshop iliyo karibu yako, au kwa mwanasheria/wakili. Hata hapo kazinin kwenu HR anatakiwa awe nayo,is an important piece of legislation regarding employment and labour relations.
 
Ndugu wanajamii huyu jamaa aliyeleta hoja yake hapa ni sahihi kabisa,Code of good practice,rule 2007,ipo kwa mimi ni HR Manager ninayo hapa ofisini kwangu ya "English version"pia ninayo ya kiswahili,ninaambatanisha hapa ya kiswahili iko kwenye PDF file,kama wewe unafanyakazi,hii itakusaidia kuelewa taratibu kama umeachishwa kazi kinyume na taratibu.Lakini wengi hamkuwa na taarifa kama ipo.
 
hello..

Nafurahi kwa msaada wako bro.. nilikuwa na assignment ya LABOUR LAW of course ingawa imeandikwa kiswahili i found it very helpfully.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom