Msaada wa Sheria inayohusiana na SERVICE LEVY.

Piere. Fm

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,208
1,170
Habari Wakuu,

Kwa wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hii sheria inayohusiana na service levy.

Je ni nani ambaye anaingia katika kundi la kulipia hii service levy katika halmashauri husika?

Yaani mtu au Taasisi zinazo jishughurisha na nini hasa zinaingia katika kundi la kulipia aina hii ha ushuru?
 
Maana ya Service Levy ni ushuru wa huduma ambao ulianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Fedha za serikali za mitaa, sheria ya mwaka 1982 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2012.serce levy ilianzishwa kama chanzo cha mapato kwa halmashauri
 
Ikumbukwe pia kabla ya marekebisho ya mwaka 2012, sheria ilitaka halimshauri itatoza ushuru huu km chanzo cha mapato kutoka kwenye makampuni tu lakini ikipofika mwaka 2012 sheria ikifanyia marekebisho na kuzitaka kampuni au mtu yoyote mwenye leseni ya biashara kulipa ushuru huu na kama kampni au mtu yyt mwenye leseni ya biashara atakuwa na matawi ya kibiashara nje ya himaya pia huko kwehimaya(juridiction) atatozwa ushuru huo hukohuko na himaya husika
 
hembu tuwekee kipengele kinachozungumzia watu binafsi? Hata hivyo ushuri huu unatakiwa ufanye na kazi kama za kuzoa taka lakini bado tunatozwa tena ushuru wa taka
 
Ingekua issue ya ushoga na usagaji ingepata wachangiaji kibao, ila masuala ya msingi kama haya hakuna anayehangaika nayo!
 
Ingekua issue ya ushoga na usagaji ingepata wachangiaji kibao, ila masuala ya msingi kama haya hakuna anayehangaika nayo!
Ushoga na usagaji ni jambo linalogusa kila mtu, ushuru sio kila mtu, nenda kijijini uliza mtu yeyote kama anaujua huo ushuru
 
Back
Top Bottom