Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Naombeni msaada kwenye wasapu nawezaje kuweka apps yeyote kwenye wasapu yangu ili kwa mtu aliyetuma meseji kwangu isionyeshe Kama nishaifungua meseji yake (yani isionye zile tick mbili za rangi ya blue) msaada kwenu.