Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,042
- 16,037
Nawezaje kuondoa hii read only kwenye flashdisk?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flash disk ni ya aina ipi? Unaweza ipiga picha uweke hapa?
Hata hivyo, fanya hivi:
Ukifika hapo, niambie inavyosema tuone kama waweza saidika.
- Run diskpart kwa kubonyeza WindowsKey+R
View attachment 1151530
- Type list disk
- select disk n (hapa, badilisha n na namba ya flash disk yako iliyo kwenye safu ya Disk ###
- attributes disk
Sorry but disk selection from list DISK huwa ni number tu unless u list volumeDISKPART> select disk i
The disk you specified is not valid.
There is no disk selected.
lkn kwenye my computer inaoneka ni drive "I"
Pole kwa kuchelewa kureply.DISKPART> select disk i
The disk you specified is not valid.
There is no disk selected.
lkn kwenye my computer inaoneka ni drive "I"
Hapana nilikwama hapoPole kwa kuchelewa kureply.
Tangu wakati huo, umefaidika?
Kwenye Diskpart command tumia namba sio herufi.DISKPART> select disk i
The disk you specified is not valid.
There is no disk selected.
lkn kwenye my computer inaoneka ni drive "I"
Fanya vile huyu amesema.Kwenye Diskpart command tumia namba sio herufi.
Hapo SELECT Disk 1 sio i.
Kwanza LIST Disk, kisha angalia size ya hizo listed disks ukiona MB zinalingana na flash disk yako basi note hiyo namba ya disk uitumie kwenye SELECT Disk command.
Nyingi za hivyo zilikuwa zamani mkuukama ni flash disk nyingine zinakuwaga na button ya kufunga na kufungua readonly,....
hebu iangalia kama ina button yoyote ile........
Flash/ SD card nyingi za kibongo bongo ni fekelo kama zikisoma write protected ndo basi tena ni za kutupa tu.