msaada wa prospectus.

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,306
4,681
please, yeyote mwenye prospectus ya ardhi university naomba aniwekee hapa niweze kui-download, coz website ya ardhi ina kama week hivi inanigomea kufunguka..
natanguliza shukrani..
 
Unataka ya kaz gani. Sidhani kama kwenye web ipo. Si kila kitu kipo kwenye web, vingne vnatumika ndan ya chuo, hakuna haja ya ku expose. So jarbu kuwasiliana wanafunzi wa Ardh. Pia sidhan kama utampata mtu ai scan akuwekee hapa. Ila jarbu.
 
<br />
<br />
nilishawahi kuiona kwenye web yao, but i wasnt keen by then,.and now that i want it, haifunguki,.
 
Back
Top Bottom