Msaada wa programs za video editing

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
Habari wakuu
Naomb msaada kwa mtu mwenye softwares za kueditia VIDEO na mazagazaga yote yanayohusu VIDEO EDITING....nipo dar es salam

Naomba msaada tafadhari.
 
mkuu elimu ni bora zaidi kuliko hizo software, na kuwa na software zote hakukufanyi uwe editor mzuri wa video.

Uwezo wako wa kuedit video ni upi?
Mkuu nataka nijifunze kupitia youtube na nimeshafanya kwa program mbalimbali sahivi nataka nijifunze video editing tafadhari msaada wa hizo software
 
Adobe Premiere Pro cs6, cc -, Cyberlink Power Director 15, Pinnacle Studio 18,19.5,20,Sony Vegas 13 Platinum. Cyberlink & Pinnacle ni rahisi zaidi hata kwa begginers.Pia unaweza kuzipata Extratorrent.cc kwa MAC kuna Final Cut Pro. Software pekee haitoshi PC zenye Core i5, i7 pia ni vizuri ukazingatia ili Video iwe nzuri. Kama bajeti inaruhusu PC za Apple ni bora zaidi.
 
Asante mkuu bado sijajipanga kununua apple laptops
 
Back
Top Bottom