vee15
Senior Member
- Aug 8, 2016
- 118
- 54
Habari zenu wana JF samahani sana but nilkua natafta NGO ambazo zinatoa nafasi za kujitolea kwa Dar es salaam. mmi nina degree ya business administration natafta sehem ya kujitoa kuongeza knowledge na experience kwa nilichosomea. asanteni
#JOKES ASIDE PLEASE
#JOKES ASIDE PLEASE