msaada wa NGO za kujitolea

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
54
Habari zenu wana JF samahani sana but nilkua natafta NGO ambazo zinatoa nafasi za kujitolea kwa Dar es salaam. mmi nina degree ya business administration natafta sehem ya kujitoa kuongeza knowledge na experience kwa nilichosomea. asanteni

#JOKES ASIDE PLEASE:)
 
Njoo PM

1. VSO
2. RALEIGH INTERNATIONAL
3. UN VOLUNTEERS
4. RESTLESS DEVELOPMENT

Anza na hizo usikatishwe tamaa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom