Msaada wa namna ya kutuma SMS kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
Naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma SMS Kutoka kwenye Computer kwenda kwenye Mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye PC yangu ili niweze kuwa natuma na kupokea SMS.

ASANTE
 
naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma sms kutoka kwenye computer kwenda kwenye mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye pc yangu ili niweze kuwa natuma na kupokea sms.

Asante


.
Binafsi sijakuelewa
.
.
 
kama unataka sms za kawaida tumia modem na dashboard ya modem ukiwa umeeka line yako ndani.

kama unataka bila modem tumia gmail kuna wakati walikua wanatoa sms 50 kwa siku nafkiri bado ipo hio offer
 
Yap,ila Gmail kwa sasa inagoma mtu akitaka kureply kutoka kwenye mobile inakuwa message fail,kwa mitandao ya Vodacom au Tigo.
 
mightytext. Hii app ipo playstore idownload then fuata maelekezo. Halafu utakuwa unaingia Google (kwenye computer) unaandika 'mightytext.com' una-log in (kwa kutumia email na password ambazo utaset kwenye ile app kwenye simu) utakuwa unatuma sms na kupokea, utakuta picha na videos ulizopiga kwenye simu na vingine vingi tu.
 
Back
Top Bottom