naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma sms kutoka kwenye computer kwenda kwenye mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye pc yangu ili niweze kuwa natuma na kupokea sms.
Asante
Naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma SMS Kutoka kwenye Computer kwenda kwenye Mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye PC yangu ili niweze kuwa natuma na kupokea SMS.
ASANTE
UthSMS.net - Send and Receive SMS Worldwide For Free Without Any Registration
kutuma bure, ila kupokea ndiyo hauwezi
Nataka ya kutuma na ya kupokea sms pia..
Hapo line ya simu (simcard) inahusika. kama alivyokuelezea Chief-Mkwawa