Msaada wa namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya shamba

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,211
3,317
Wana jukwaa ninashamba kubwa tu la miti ambalo naamini linaweza kuniwezesha kupata mkopo nikafanya mishe za kibiashara!!!

Naombeni mawazo yenu nifanye nini ili linipe mkopo!!!!
 
Back
Top Bottom