Msaada wa namna ya kupata kazi za Bongo movies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa namna ya kupata kazi za Bongo movies

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dopas, Feb 13, 2012.

 1. D

  Dopas JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  MOD nimeandika hapa kwani sijui ombi langu nipeleke wapi. Nadhani wanaJF wanaweza kusaidia.
  Kwanza niwapongeze wasanii wa Bongo movies kwa kazi zao nzuri, na yenye kuelimisha jamii, bila shaka inawawezesha na wao mkono uende kinywani. Kazi zao zinauzwa sehemu mbalimbali nchini, huenda hata nje ya nchi.
  Lakini sio wote wanaoweza kuzipata, hata kama wamependezwa nazo kwa sababu mbalimbali. Tupo kwenye ulimwengu wa Sayansi na teknolojia: ni namna gani tunaweza kupata kazi za bongo movies online- kwakununua?
  Nasema hivi kwa sababu sio wote wanaoweza kwenda kwenye maduka ambayo movies zao zinauzwa, je tunaweza kununua kazi hizo online????
  Wanaweka trailler- ktk youtube- je? nikitaka movie nzima?
  Nahitaji msaada wa mwanaJF yoyote mwenye uelewa wa suala hili
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  czani kama kuna anayeuza kazi zake online
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ya wabongo tunavyochelewa kwenda na wakati sidhani kama inawezekana
   
Loading...