Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Mkuu tatizo umeanza mapema sana, Yani umri huu kuwa na upara ni noma sana.
Wenzio upara umeanza tukiwa na miaka 15, sembuse wewe wa miaka 20+, upara ni kipimo cha mwanaume rijali mara nyingi kinasababishwa na kuzidi kwa hormone ya testosterone, ndio maana kipara mara nyingi ni kwa wanaume, ukitaka nywele ziote ondoa pumbu zako ubakize sehemu ya kukojolea tu🙏🙏
 
Utaiweza huduma ya kupandikiza nywele mkuu.. nenda mwendo wa vipara tu ndio iwe style yako
 
Pole sana,
Sio lazima iwe kitu cha kurithi,
Kusoma sana kunachangia mtu kuwai kupata kipara
Kuwaza kupitiliza
Kutokupata mda wa kupumzika

Ila jitahidi kula vyakula vifuatavyo vinasaidia ukuaji wa nywele
.Mayai ya kuchemsha ya kienyeji
.Viazi vitamu
.Samaki
.Maparachichi
.Karanga, korosho
.Maharage

Yani mda mwengine ni upungufu wa vitamin A,C,D,E na madini chuma
 
Shukrani sana mkuu, nitazingatia hayo
 
Mimi piaa kilinipa stress mpk bs yn...nakumbuka ilikuwa chuo...ikabid nianze kunyoa mapara tu....saiv watu wanansfia napendeza sana style yang ya kunyoa....wanadhan labda napenda kunyoa para kumbe nna kipara....ila mm nna ndevu sasa sijui kwa upande wako
NB: Acha nyeto...inachangia pia
 
Wewe ulikuwa unapoga nyeto, mbona kuna wengine wanapiga nyeto had basi lkn hawana
 
Mimi piaa kilinipa stress mpk bs yn...nakumbuka ilikuwa chuo...ikabid nianze kunyoa mapara tu....saiv watu wanansfia napendeza sana style yang ya kunyoa....wanadhan labda napenda kunyoa para kumbe nna kipara....ila mm nna ndevu sasa sijui kwa upande wako
NB: Acha nyeto...inachangia pia
Ndevu mimi bado hazijaanza kuota mkuu ..
 
Mbona jambo rahisi tu hilo mnahangaka weeee!! vaa wig la nywele za kiume tu!
 
Kweli chuma kimekubali
Mkuu jikubali tu uanze kunyoa upaa " mi pia nilianza kuota upaa nikiwa 22 years nikawa naona noma kuachia kichwa, nikawa mzee wa kapelo , nmevaa kofia mda mrefu ndio nikawa nmeuzidisha mara 2 yake ,, lait ningejua ningeuachia tu watu wakazoea, lakin ndo ishakuwa ivo tena siwezi kutoka bila kofia... View attachment 2069483
 
Ndevu mimi bado hazijaanza kuota mkuu ..
Tumia mafuta ya mnyonyoo.Kipara kinaota nywelee kikubwa ni uvumilivu lakini mabadiliko utayaona kadiri utakavyo zidi kupakaa.Mcheck mshikaji anae uza mafuta yuko Kilimanjaro.

Castrol oil:0769730504/0715670484
 
Bro wangu mkubwa yupo early 30s na yeye hana kiwalaza, sasa najiuliza nimekipata wapi na ndio kwanza nimetimiza miaka 20 juzi hapo ??.

Yani upande wa mbele wa kichwa changu nywele zimeacha kuota pembeni mwa komwe ( receding hairline) na pia nyuma kidogo ya kichwa nywele zimeacha pia kuota.
Kwa vijana wenye hatari ya nywele kupotea upara/uwalaza ulaji wa mbegu za maboga unaweza kusaidia.

Ulaji wa mbegu za maboga unasaidia pia kupunguza hatari ya tezi dume na kuicontrol kabisa.

Tukirudi kwenye upara kuna mafuta yenyenmchanganyiko wa nyonyo na mafuta ya mbegu za maboga unaweza kusaidiana na ulaji wa mbegu za maboga
sahiliproductions.JPG
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom