TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
Wateja huwa wanashirikishwa kuonyesha eneo ambalo umeme unapaswa kupitishiwa aidha kwa ambao nyaya zitapita juu ya viwanja vyao huwa wanapaswa kukubaliana na majirani zao kwa maandishi.Tulitarajia kama hilo limetoka bila ridha yako ungetoa taarifa mapemaHata kwangu chanika mmenifanyia haya tena toka nguzo inawekwa nawaambia hapa mnaweka juu ya kiwanja changu wale mafundi wananijibu "huwezi kutuzuia" kwahiyo nguzo imewekwa makusudi halafu baadae niingie gharama kuhiamisha kweli?