Msaada wa namna ya kudownload admission letters za udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa namna ya kudownload admission letters za udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by July Fourth, Sep 26, 2012.

 1. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  WAKUU Nimejaribu kulog in nimeshindwa..je kuna mtu aliyefanikiwa anilekeze?
  inaniandikia hiki kitu

  Home Login

  Username and password do not match or you do not have an account yet.

  You must log in first

  Login
  To access the private area of this site, please log in.

  Username

  Password

  Remember Me

  Forgot your Password?
  Forgot your Username?
   
 2. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nipe namba yako nikuelekeze kwani hata Mimi ilinisumbua
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  unapo login weka User name No yako ya Form 4 kwa mtindo huu S0123/0012-2009 password weka jina la babako kwa herufi kubwa mfano MAIGE. Kumbuka kua kunataarifa imewekwa kua kama weae ni wa second Batch hutoweza pata barua yako mpaka baada ya October 1,
  kama ulikua katika first list na bado unaahindwa niPM yor full name,Form 4 index Number na email yako nikusaidie kama nitaweza.
   
Loading...