Msaada wa Namna ya ku cop na colleague ofisini mwenye MAPEPO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Namna ya ku cop na colleague ofisini mwenye MAPEPO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Apr 19, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bros and sis, long time.....

  Nawamisi sana mazee, tatizo ni huku nilikohamia hakuna net kabisa. Anyway leo naomba ushauri wenu namna ya cop na mfanyakazi mwenzangu mwenye mapepo. Kwanini nasema mapepo mimi nimsikilizaji na mpenzi wa gospel songs hasa mida ya asubuhi navyooanza kazi ....sasa kila mara nikicheza kwenye computer huwa anadai kusikia kizunguzungu na kichwa kumuuma mara kutapika na wakati mwingine huwa anasema anaona giza na ameniomba nisiwe nasikiliza tena akidai ni makelele hata kama voice iko vol 1.

  Nimenunua head phones na nikiweka tu anauliza unasikiliza nyimbo gani? anakuwa uncomfortable mpaka aone au asikie nyimbo nazosikiliza.

  Je kuna aliyewahi kukutana na hali kama hii? na namna ya kuihandle plz?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mkabidhi mkononi mwa yesu kila asubuhi unapotoka nyumbani, kila siku hakikisha unamuombea kimyakimya.
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  yan huyo anataka ajue mpaka unachosikiliza? huyo ni balaa, af akijua ni gospo anaomba uzime, hatar kwel...mkabidh kwa Mungu
   
 4. m

  muajemi Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpige injili ya Yesu na kumuambia mateso apatayo yataisha akimkabidhi Bwana Yesu maisha yake.
   
 5. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hilo ni tatizo....wapo wataalam wa hayo mambo mshauri/mpeleke atibiwe.
  Hamchelewi kulalamika tiba...hiyo tiba ni ya kiroho...lakin si kwa walokole!
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Peleka kwa Babu Samunge Loiliondo!
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hata mimi sipendi mtu asikilize mziki akiwa karibu yangu/ofisini kwetu. Ila hiyo ya kuuliza unasikiliza nini kwa headphones, nasema unaonewa kaka yetu.
  Just as ulichukua muda wakutuandikia kutuuliza ushahuri, chukua muda umwendee huyo colleague na umwambie u want to discuss. mkisha kaa vizuri mwambie wewe unapenda sana gospel na ikiwezekana mpe sababu (inaku-inspire, inakukumbusha kua karibu na Mungu etc).
  Alafu mwambie unaelewa yeye hapendi mziki wako. Kama atakua na sababu mwachie nafasi ya kujieleza.
  then mwisho kabisa mpeleke kukubali utatumia headphones iwapo utataka kusikiliza nyimbo zako. Unaheshimu sababu zake ila unamuomba na yeye aheshimu zakwako, so long as hasikii nyimbo unazo piga.
  Kama tena na hapo atashindwa mtume loliondo.
   
 8. c

  ccr airtel Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole sana mkuu wa kazi doh!.chukua hatua mzee mkabidhi kwa mungu yasije yakakuhamia na wewe
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Huyo Ka' mnywee kikombe cha babu wa loliondo..lol.
   
 10. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kama ni mwamnamke ana mimba huyo, achana nae. kama ni mdume basi jaribu kusikiliza mwenyewe yaani tumia headphone uone itakuwaje. Halafu kama kusikiliza Gosp ni sehemu ya ibada yako si dhani kama ibada hiyo itakuwa na maudhi kwa jirani yako unless uwe ndio style uliyoelekezwa.
   
 11. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Russian ulipoteaga wapi ndugu? Vp kenya hawajambo lkn?
   
 12. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huyo anahitaji huduma! Hayo mapepo inabidi umuita Kristo ayasambaratishe Mkuu manake kwa kupigwa kwake sisi sote tumepona!
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyo atakuwa ni mtu mwenye matatizo yanayo sababishwa na shinikizo la mawazo na ukosefu wa usingizi na wala si mapepo kama unavyo fikiria...! watu wengi wa aina hiyo huwa hawapendi kusikiliza vitu vyenye kujirudia rudia kama vile nyimbo au mashairi, na hasa nyimbo zinazo endana na ala za mziki...! haijarishi ni aina gani ya mziki...!

  Basi nawe unatakiwa uwe mtu unayejali wengine, si wote wenye kupenda kusikiliza kwaya au aina fulani ya mziki, japokuwa kwa imani yako wewe unaona ni jambo jema.

  Mimi niliwai kuishi na mtu chumba kimoja, yeye alikuwa hawezi pata usingizi usiku mpaka asikilize miziki ya hard au heavy rock... Tena ile ya kina foo fighter, Aerosmith au Van Halen.

  Huyo jamaa yeye nadhani alikuwa ni muumini wa Wicca au pagan au ile imani ya satanism...! Naye alikuwa ananishangaa kwanini sipendi kusikiliza aina ya mziki anao sikiliza yeye. Ila mimi nilipata bahati, jamaa alikuja kuamishwa chumba, ikawa afadhali.
   
 14. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  dah mkuu pole sana ......unaweza kuirudisha ile avatar yako ya zamani nilikua naipenda sanaa asee
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Umejuaje kama ni mapepo?
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama huyo hana mimba basi anakutaka kiaina sema ww unashindwa kumwelewa tu!!!

  tunafanya kazi na watu wangapi unaona kabisa huyu sio lkn hasumbui????

  kama ni mapepo basi ni aina ya majini hayo!!!
   
 17. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 882
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Acha kusema wenzako wana mapepo - tena eti kwa sababu hawapendi nyimbo zako. Inawezekana kuwa nyimbo zako zinam-boa tu.

  Punguza prejudice. Ongeza empathy. Usijione kuwa wewe ni Starring na wengine wote ni extras.
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  Jitahidi usifanye kitu cha kumfanya mwenzako akose amani, kwani MUNGU si kwenye nyimbo tu hata roho yako ukiweka sawa utasimama tu IMANI YAKO KWA MUNGU WAKO YATOSHA KUKULINDA, je, siku wao wakiweka za kwao utajisikiaje, be fare wewe bila shaka ni mwana jamii forum na umelimika vizuri.
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu thanks umenifungua akili sana, kitufe cha thanks sikioni. Nakushukuru kwa ushauri
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpele pale Tanganyika Perkas kwa Askofu Gwajima atapona:hug:
   
Loading...