Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

Father TZA

New Member
Jul 6, 2020
1
1
Habari Wakubwa?

Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu.

Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA malipo yake yakoje, je hayo malipo ni sawa kwa mikoa yote Tanzania au gharama ni tofauti. Pia mwenye msaada wa kuunganisha blog ya WordPress na Google Adsence.

Naomba anisaidie maelekezo.

FB_IMG_16099444271840266.jpg
 
Kitu muhimu ni Adsense na Ulipie domain kwa mwaka ili uanze kazii kuhusu TCRA sifaham ila unaweza anza publish tu bila tatizo
 
Back
Top Bottom