Msaada wa namba ya NIDA isemayo "NIN can only be used once, this NIN has already been used"

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wana JamiiForums

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kuifungua mpya account yangu ya RECRUTMENT PORTAL kwa kutumia namba ya NIDA ambayo ilishawahi kuifungua kwenye account nyingine ambayo nimesahau password lakini kila nikifungua account mpya ya nida ili nifanye application inakataa na inasema namba hiyo ya NIDA ilishatumika kufungulia account nyingine ambayo nimesahau taarifa zake.

Msaada wenu wakuu maana muda unakwenda na kila nikifanya application namba hiyo ya NIDA inagoma
 
Huwezi kufungua account nyingine kwa kutumia the same NIDA number ever kwenye huo mfumo, wewe rudisha account yako tu ya zamani ya but kufungua nyingine sahahu.
 
Habari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kuifungua mpya account yangu ya RECRUTMENT PORTAL kwa kutumia namba ya NIDA ambayo ilishawahi kuifungua kwenye account nyingine ambayo nimesahau password lakini kila nikifungua account mpya ya nida ili nifanye application inakataa na inasema namba hiyo ya NIDA ilishatumika kufungulia account nyingine ambayo nimesahau taarifa zake
Msaada wenu wakuu maana muda unakwenda na kila nikifanya application namba hiyo
 
Process ni ñdefu kama hukumbuki email inatakiwa uandike barua kwa katibu Mkuu wa delete email ya zamani uweze kutumia email mpya nmeambiwa hivo nmetuma barua lakin Hadi sasa sjajibiwa kuna aliefanikiwa kwa hili kweli
 
Back
Top Bottom