Msaada wa muundo wa Interview za TIC

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,526
3,647
Salaam Wakuu,

Kuna jamaa yangu anatakiwa aende kwenye Interview pale TIC. Naomba mwenye ABCs za interview za pale anijuze tafadhali
 
salaam wakuu.
Kuna jamaa yangu anatakiwa aende kweny interview pale TIC. Mwwnye ABCs za interview ya pale anijuze wakuu
kwamba unaupendo hivyo kwa rafiki yako ha ha ha ha jombaaa ukisema wewe mwenyewe utakuwa umepungukliwa na nini??? sometimes mnajikosesha bahati sababu ya kujificha vivuri ambavyo si vyenu mana mwingine hatokupa hizo ABC sababu sio we muhusika atataka rafiki akoi aseme kumbe wewe ndo muhusika...acheni kuwa kama minduku....
 
Mshikaji wangu wa karibu mkuu. Kama ni mimi ningesema tu. Kama ABCs zipo naombeni nimsaidie huyu mshukaji
 
Salaam Wakuu,

Kuna jamaa yangu anatakiwa aende kwenye Interview pale TIC. Naomba mwenye ABCs za interview za pale anijuze tafadhali
ingekuwa wewe ningekusaidia nilishawahi kufanya nao usahili chini UDBS mwaka jana.
mwambie huyo jamaa yako apambane na hali yake tu
 
Hivi ukisema ni wewe utapungukiwa nini? Sema umeitwa kwa post gani tukusaidie
 
Mkuu jamaa ameitwa post ya investment promotion advisor. Jamaa anataka ABCs ili alifika pale asianze kushangaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom