Msaada wa mtu ambaye anaweza nisaidia kuondokana na addiction

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
870
Naombeni msaada kwa mtu ambaye anaweza nisaidia kuondokana na addiction
Siku mbili zimepita tangu nilete shida yangu hapa lakini naona Hali yangu haiwezi kubadilika kirahisi maana nimeathiriwa na kutrade forex huu mwaka wa tatu na napoteza pesa Sana

Msaada please yaani hapa Jana na Leo sijagusa chochote maana commission ninayolipwa nachoma

Daah sijui nitachomoka vipi kwenye huu mtego

Unaweza Soma hapa pia Ushauri:Napoteza pesa mno nahisi kuchezewaa

Naomba Kama Kuna namna ya kuweza kuacha addiction ya hivi niweze kuchomoka
 
Kuna muvi unaitwa "the wolf of the wallstreet" iangalie kwa umakin

Kuna kauli moja aliitoa yule mentor wa dicaprio wakat wamekaa wanakula lunch..ukiielewa hyo kaul hutofanya hyo kitu tena..na wanacheza hapo hapo kwenye addiction..
 
Naombeni msaada kwa mtu ambaye anaweza nisaidia kuondokana na addiction
Siku mbili zimepita tangu nilete shida yangu hapa lakini naona Hali yangu haiwezi kubadilika kirahisi maana nimeathiriwa na kutrade forex huu mwaka wa tatu na napoteza pesa Sana

Msaada please yaani hapa Jana na Leo sijagusa chochote maana commission ninayolipwa nachoma

Daah sijui nitachomoka vipi kwenye huu mtego

Unaweza Soma hapa pia Ushauri:Napoteza pesa mno nahisi kuchezewaa

Naomba Kama Kuna namna ya kuweza kuacha addiction ya hivi niweze kuchomoka
We ni mtu wa ajabu sana hapa nchini, hasara kabisa... Kama unajua uko kwenye hatari au athari si uache mwenyewe? sasa mtu mwingine anakusaidiaje
 
Kama wewe ni mwangaliaji wa tv kuna channel flani ipo kwenye king'amuzi cha azam inaitwa discovery science wanakipindi kinaitwa taboo kinahusuwatu waliona na addiction mbali mbali alafu huwa huwa kuna wana saicolojiambali mbali huwa wana wasaidia kutokana na hilo tatizo
 
Naombeni msaada kwa mtu ambaye anaweza nisaidia kuondokana na addiction
Siku mbili zimepita tangu nilete shida yangu hapa lakini naona Hali yangu haiwezi kubadilika kirahisi maana nimeathiriwa na kutrade forex huu mwaka wa tatu na napoteza pesa Sana

Msaada please yaani hapa Jana na Leo sijagusa chochote maana commission ninayolipwa nachoma

Daah sijui nitachomoka vipi kwenye huu mtego

Unaweza Soma hapa pia Ushauri:Napoteza pesa mno nahisi kuchezewaa

Naomba Kama Kuna namna ya kuweza kuacha addiction ya hivi niweze kuchomoka
Nafahamu na kuelewa wakati unaoupitia lakini nilazima ufahamu maisha yako ya kesho wewe na familia yako yangali mikononi mwako, iandae kesho yako Leo kila sent ni yenye umuhimu mkubwa ktk maisha yetu br, jikane kwanza, ikane nafsi ya forex na uchague kuwa mtu mpya.
2022 Mungu anisaidie sihitaji kupoteza hata sent yangu kwa Mambo ya kijinga maana 2021 nilifanya makosa Sasa Mimi ni mtu mpya 2022.

Amua Leo utaweza tazama familia yako, ndugu na jamaa zako na ujihurumie.
Vijana tulio wengi tunapata Sana pesa tunapambana Sana lakini tunapoteza hizi pesa tunazosaka kwa jasho na damu usiku na mchana ktk michezo ya ajabu hasa kamari , Mungu usimame nami 2022.Amin
 
Addiction unatumia pesa tena zako humuibii mtu wala serikali...?

Jombaa hyo addiction itakuja kuisha sku pesa zimekata...niamini Mimi,
Naweza kuwa Sina kitu kabisa Ila Nina 20k pekee naenda kuifanyia trading yote na inapotea nimefanya jitihada nyingi sana za kuacha lakini wapi
 
Wazee mpeni maelezo mazuri, hii kitu nyie iskieni kwa wengine addiction ya betting na forex ni mbaya sana na ngumu mno kutoka.

Me nikushauri kitu kimoja,,, acceptance ni jambo zuri pale unapotaka kutoka kwenye vitu Kama hivyo, ki aje

Kwanza: kubali kwamba hela zilizo potea tayali zishapotea na huna kitu unaweza kufanya..
Na kubali huwezi kurudisha kwa njia ya forex, wengi huamini Kuna siku watarudisha hela zilizopotea kwa njia ile Ile sio kweli.

Pili: epuka vitu/mazingira yanayo kushawishi utamani ku trade ikiwemo marafiki na Kama Kuna mentors na wale motivation speaker unfollow wote

Tatu: hela utumiazo kutrade fungua ki biashara ama tafuta kazi itakayo kufanya ushindwe kupata muda wa kufikiria hata hayo Mambo ya ku trade

Nne: amini mafanikio yanakuja taratibu na sio kwa usiku mmoja, kuwa karibu na wale walio pambana kwenye njia tofauti na hizo... Achana na mkumbo wa vijana wanao download hela mtandaoni.

#Wanasema ikija kirahisi itaondoka kirahisi pia, hii kitu ina tutafuna sana vijana kweye hizo betting na forex
 
Nadhani mazingira ndo vishawishi vikuu
 
Naweza kuwa Sina kitu kabisa Ila Nina 20k pekee naenda kuifanyia trading yote na inapotea nimefanya jitihada nyingi sana za kuacha lakini wapi
Ok....basi simamia unachokiamini Ila kwanza jua kwa undani zaidi hicho unacho simamia.
 
Na kamwe hutoweza fanikiwa unachofanya wewe ni kugamble ktk forex, sikia weka pesa zako soma sana uelewe utafute nidhamu alafu ndo urudi sokoni tena,
na izo ela zako za chai unaingia na mind set za kuwa tajiri overnight bora ubet tu, anza kufikiria 2pcnt 5pcnt 10pcn gain kwa siku

we ujiulizi kwa muhindi uanenda fanyishwa kazi kutwa nzima alafu unaondoka na ujira hata 5$ haifiki kwa siku na hayo ni masaa 11 kwenda chooni mpka uombe ruhusa😂,kushika simu mpaka ujifiche, likizo mpaka uandike barua na pengine unaweza ambiwa usirudi tena😂,

Alafu unakuja ktk forex huna exipiriensi hata ya miaka kadhaa huna mtaji wa maana huna nidhamu unataka ikupe dola 100 300$ kwa lisaa bila hata kuwa na subira ya setup nzuri

aya unvexipiriance ila bado unataka uwe right kila wakati yani ukiona loss unaona soko linakushushs hadhi unataka kupingana nalo kwasababu unajua 😇😂,

faida au hasara za forx ukiziweka moyoni utaishia kupararaiz kwa emotion, chukuliq hasara kawaida na loss kawaida usiache kujifunza na kuadapt maana soko sio michoro tu kuna vingi vina affect soko so be dynamic and accept kila kitu mapema.
 
Futa ma matetradre stop zile message za brokers wanatuma kwa email. Toka kwenye magroup ya forex na pages huku facebook na insta ,whatsap

Kama ulikuwa mtu wa status za kupost machat na daily profit acha kabisa mi mbona nimeacha na ni miaka 3 tangu 2019
 
Back
Top Bottom