Msaada wa modem na router connection problem

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
439
1,526
Habari wakuu.

Nina changamoto kwenye suala la connection ya internet kwenye computer nahitaji msaada wa anaeweza kujua jinsi ya kusolve hili tatizo.

Pc yangu ni DELL ina window 10, nilichange window siku ya juma tatu (25-01-2020) sababu window 10 ya mwanzo nilokua nayo ilikua ni Japanese vision hivo nikaona nibadilishe niweke window 10 ya kawaida tu, baada ya kubadili window na ku update drivers (japo siku update zote sababu App nayotumia ya DriverMax inaniruhusu ku update drivers 2 tu kwa siku. Sasa juma tatu na jumanne Modem na router zilikua zinaconnect vizuri tu japo internet inakua slow sana sana, lakini kuanzia juma tano jioni nikawa nikiconnect router inaniandikia no internet na imeconnect na bundle lipo kubwa tu, nikaamua nitumie modem, napo tatizo likawa lile lile, inaconnect but no internet, ILA UKICONNECT NA PHONE HOTSPOT INAKUBALI. Sijajua shida ni nini, naomba mwenye kujua how to solve this tafadhari msaada wako. Manake mimi natumia router na modem zaidi sababu simu yangu ni kitochi tu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom