Msaada wa mobile broadband card utility

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wandugu, nimegundua Dell yangu latitude D630 inaweza kupokea chip ya simu. Nataka kutumia Dell Mobile Broadband Card Utility kupata data na huduma nyingine kutumia chip ya zain. Nimeistal driver yake nikafanikiwa, sasa kizungumkuti kupat network. Sijaweza kupat kwani katika list za service provide zain haipo, hata nilipotumia chip ya vodacom ingawa ipo lakini sikuweza kufanikiwa. Mwenye ujuzi juu ya hili anijuze?
 
ukisha install hiyo software weka bluetooth on click connect automatic itaonyesha mtandao wako unaotumia haiitaji setting zozote kwa habari zaidi ingia hapa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...2106-dell-latitude-d630-smart-chip-modem.html
 
jamani mimi nilidownload hiyo driver kwa ajili ya dell D620 ikaniambia the device is not detected so nikagundua kuwa hiyo device imekua removed,na nimeitafuta ninunue nyingine na kupitia maduka kadhaa hapa dar BUT ccjafanikiwa kuipata naombaeni msaada kwayeyote anayejua mahala kinapouzwa/kinapopatikana anijulishe please...!!!
 
jaribu pale mtaa wa libya kuna kituo cha oilcom opposite na kituo cha oilcom kuna mafundi wa computer wachina china wapo pale jaribu pale wanaweza kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom