MSAADA WA MJUZI WA ADOBE PHOTOSHOP (PS)

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu ndugu zangu, mm ni Muhubiri wa injili nina mission ya kuhubiri injili vijijini kusikoweza kufikiwa na watu wengi, naomba msaada wa mtaalamu wa kutengeneza matangazo na vipeperushi yale ya vipeperushi vya mtandaoni. Naomba njoo DM
 
Vipeperushi si ina print au unataka iwe Jpeg sijaelewa matangazo yenu rahisi ni picha tu tarehe na ujumbe n

matangazo yenu rahisi ni picja yako na
 
Habari zenu ndugu zangu, mm ni Muhubiri wa injili nina mission ya kuhubiri injili vijijini kusikoweza kufikiwa na watu wengi, naomba msaada wa mtaalamu wa kutengeneza matangazo na vipeperushi yale ya vipeperushi vya mtandaoni. Naomba njoo DM
Nipe Contact zako PM nikutafute na niweze kukuonyesha sample zangu kabla haujanipa kaz
 
Back
Top Bottom