Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

WE sio mahakama hadi kuamua kugawa mali kabla ya talaka. ila kumbuka sheria f.114 sheria ya ndoa inazungumzia mgawanyo sawa wa mali zilizochumwa kwa juhudi za pamoja ndani ya pamoja. hivyo mgawo wenu wa mali ni zile mlizochuma kwa pamoja tu.

Kama uko Dar, pitia duka la vitabu vya serikali pale Jamhuri Street pale Posta ujinunulie kitabu cha Law of Marriage Act. Wakati nina kesi ya talaka na mwenzi wangu nilinunua pia nikawatembelea sana mawakili kwa ushauri (wengi dar hufanyan 10,000/= for a reasonable time of discussion) simaanishi kumkodisha bali kupata ushauri wa kisheria. wakati wa mgawanyo wa mali, kipengele cha nguvu aliyotumia mwenza katika kufanikisha kupatikana kwa hiyo mali pia huwa considered. Pia nashauri usikubali mtoto alelewe na third party (bibi au babu yake), kama mama hana uwezo wa kukaa naye na wewe una uwezo wa kukaa nae, mdai mtoto hata kama ana miaka chini ya saba.

Thanks. mawazo yako endelevu asbh ntaamkia huko.

Ndugu, sheria ya ndoa imebainisha kwamba mali mtakazochuma wanandoa ndizo mtakazogawana pindi mkitalikiana, lakini mali ambayo uliikuta kwa mwenzi wako au alikuja nayo, itabaki kuwa yake, hvyo mahakama itakupa haki ndugu....

Naomba ufafanuzi kuhusu hili. Mwanangu walitengana na mkewe mwaka 2008 yaani mkewe akaenda kwa wazazi wake dar na yeye akaendelea na maisha yake mwanza. Hivi sasa shauri limetoka baraza la usuluhishi na linatakiwa kwenda mahakamani. Hapa kati kati, yaani toka 2008 hadi sasa mwanangu kuna vitu amevifanya ikiwemo kununua mashamba, usafiri na kujenga nyumba. Mkewe hajawahi fika mwanza tangu aondoke 2008 ila huwa anasikia tu kuwa mume wake amefanya hiki na kile.

Swali langu

1. Wakati wa kugawana mali utaratibu gani unatumika kutambua mali za wanandoa?
2. Mfano mwanangu akiamua kuficha baadhi ya mali na mkewe akawa anasema kuna kitu fulani mume wangu anacho, jukumu la kuthibitisha ukweli wa mali hiyo ni la nani?
Naomba msaada kwa hilo

Nijuavyo mimi, na hili sidhani kama linahitaji utaalamu wa sheria kwamba mali zote zina uthibitisho mfano kadi ya gari, hati ya kiwanja n.k. Hivyo mkewe itabidi kuithibitishia mahakama kuwa kitu fulani ni mali yao. Hivyo atalazimika kutaja vitu na gharama zake au jinsi walivyovipata au walivyonunua n.k. Sidhani kama mahakama inaweza kuchukulia kirahisi tu kuwa vitu fulani ni mali yao kwa kusikia maneno ya mke tu. Anyway, dont quate me, because Am NOT A LAWYER

Pole sana aisee Maisha ya ndoa yana changamoto sana ila ndio hivyo ni sehemu ya maisha na ipo,ukiingia pazuri amani ikitokea tofauti ndio kama hivyo,yote hayo ni changamoto tu za maisha.

Humu kuna watu wanakujibu mambo ya msingi na wengine wanaleta utani suala hili kwa upande wako ni kama vile upo njia panda angalia ushauri wa watu wengine wanaweza kukuchanganya zaidi.
Hapa sio lazima hata kuweka wakili kama uchumi haulipi, cha msingi katafute wakili wapo wengi sana na umuelezee suala lilivyo kuanzia mmefunga ndoa muda mliokaa, watoto mliopata na chanzo nini cha tatizo.
Utalipia consultation fee kama elfu kumi au kumi na tano na utapata ushauri wa kutosha kwa mujibu wa sheria ukiwa umetulia kabisa.

Sheria ya ndoa unaweza kweli kwenda kuinunua lakini tafsiri ikawa tatizo kwani kingereza cha kisheria ni tofauti na kingereza cha kawaida kwa hiyo unaweza kuwa nayo na kuitumia baada ya kupata maelezo kwa wanasheria na ukawa umejua ni vifungu gani vinahusika.

So kama ukiipata soa kifungu cha 58, 59 na 60

Pia kama ana access ya mtandao anaweza akapakua kutoka katika wavuti ya bunge www.parliament.go.tz atapata hiyo sheria ya ndoa.

Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake (ya Kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria.

That he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded.

That he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded

Umesema? Hiyo lugha me mgeni nayo, sijakupata.

Afile divorce mahakamani, ila Mahakama ikikubaliana na hoja zake na kukubali kuivunja ndoa hiyo then asahau kufunga ndoa nyingine kanisani. watu wanacheza sana na kanisa ndoa za kanisa si sawa na zile za kadhi za ukiona kigori mpya basi wewe talaka au unaongeza mke wa pili wa tatu na wanne.

Asante kwa ushauri. Je, inachukua muda sana mpaka talaka kutoka? Coz anafanya kazi porini (tour guide), anataka ajue aombe ruhusa ya muda gani kazini.

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom