Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 709
- 292
Duuuuhh! Pole sn aisee najifunza kitu hapa!
ni mali ya ndoa,pole sana imekula kwako
Kama uko Dar, pitia duka la vitabu vya serikali pale Jamhuri Street pale Posta ujinunulie kitabu cha Law of Marriage Act. Wakati nina kesi ya talaka na mwenzi wangu nilinunua pia nikawatembelea sana mawakili kwa ushauri (wengi dar hufanyan 10,000/= for a reasonable time of discussion) simaanishi kumkodisha bali kupata ushauri wa kisheria. wakati wa mgawanyo wa mali, kipengele cha nguvu aliyotumia mwenza katika kufanikisha kupatikana kwa hiyo mali pia huwa considered. Pia nashauri usikubali mtoto alelewe na third party (bibi au babu yake), kama mama hana uwezo wa kukaa naye na wewe una uwezo wa kukaa nae, mdai mtoto hata kama ana miaka chini ya saba.
Ndugu, sheria ya ndoa imebainisha kwamba mali mtakazochuma wanandoa ndizo mtakazogawana pindi mkitalikiana, lakini mali ambayo uliikuta kwa mwenzi wako au alikuja nayo, itabaki kuwa yake, hvyo mahakama itakupa haki ndugu....
Swali langu
1. Wakati wa kugawana mali utaratibu gani unatumika kutambua mali za wanandoa?
2. Mfano mwanangu akiamua kuficha baadhi ya mali na mkewe akawa anasema kuna kitu fulani mume wangu anacho, jukumu la kuthibitisha ukweli wa mali hiyo ni la nani?
Naomba msaada kwa hilo
Pia kama ana access ya mtandao anaweza akapakua kutoka katika wavuti ya bunge www.parliament.go.tz atapata hiyo sheria ya ndoa.Pole sana aisee Maisha ya ndoa yana changamoto sana ila ndio hivyo ni sehemu ya maisha na ipo,ukiingia pazuri amani ikitokea tofauti ndio kama hivyo,yote hayo ni changamoto tu za maisha.

Humu kuna watu wanakujibu mambo ya msingi na wengine wanaleta utani suala hili kwa upande wako ni kama vile upo njia panda angalia ushauri wa watu wengine wanaweza kukuchanganya zaidi.

Hapa sio lazima hata kuweka wakili kama uchumi haulipi, cha msingi katafute wakili wapo wengi sana na umuelezee suala lilivyo kuanzia mmefunga ndoa muda mliokaa, watoto mliopata na chanzo nini cha tatizo.

Utalipia consultation fee kama elfu kumi au kumi na tano na utapata ushauri wa kutosha kwa mujibu wa sheria ukiwa umetulia kabisa.

Sheria ya ndoa unaweza kweli kwenda kuinunua lakini tafsiri ikawa tatizo kwani kingereza cha kisheria ni tofauti na kingereza cha kawaida kwa hiyo unaweza kuwa nayo na kuitumia baada ya kupata maelezo kwa wanasheria na ukawa umejua ni vifungu gani vinahusika.

So kama ukiipata soa kifungu cha 58, 59 na 60
Alienda kanisani akaambiwa aende kuivunja mahakamani au abadili dini awe Muislam.Sheria ya talaka za kikristo ni lazima mmoja afe!!!!!
Ana ndoa ya Kikristo huku yeye mwenyewe si Mkristo?
Mwambie asome Mathayo 19:3-6
That he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded
Afile divorce mahakamani, ila Mahakama ikikubaliana na hoja zake na kukubali kuivunja ndoa hiyo then asahau kufunga ndoa nyingine kanisani. watu wanacheza sana na kanisa ndoa za kanisa si sawa na zile za kadhi za ukiona kigori mpya basi wewe talaka au unaongeza mke wa pili wa tatu na wanne.
Sheria ya talaka za kikristo ni lazima mmoja afe!!!!!