msaada wa mgawanyo wa mali baada ya talaka

M

mawazoni

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
27
Likes
1
Points
0
M

mawazoni

Member
Joined Nov 25, 2012
27 1 0
Msaada wa kisheria jamani. nina mke tumetengana zaid ya miaka miwili. tulioana 2008 na tunamtoto mmoja.hatukubahatika kuwa na maelewano mazur kwan kwao wana jeuri, pesa na mali nyingi nami sina elimu wanayohitaj mume wa mwanao awe nayo.
mwez mmoja baada ya ndoa mke aliniaga anaenda Nje kusoma. sikumuelewa na alichokifanya ni kuondoka bila kuaga na akaacha pete ya uchumba na ndoa mezani.

Amerudi nimempeleka baraza la usuruhish ili tutengane rasmi.kwa sasa kesi iko mahakaman. nimempa kila kitu cha ndan. nimebaki na kitanda tu ila bado anadai kibanda changu(nyumba) iuzwe tugawane sawa. ukweli nyumba alinikuta nayo naye hakua na kazi ila kilicho ongezeka ni umeme na maji tu navyo niliuweka kipindi hayupo.
hapo haki ikoje? na naskia fununu kwamba baba mkwe ndo anataka kuinunua ili anikomeshe.
Naomben Msaada wa kisheria wanajamii wenzangu mtoto yupo kwao ila napeleka pesa ya matunzo kila mwezi.
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
10,783
Likes
8,470
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
10,783 8,470 280
ni mali ya ndoa,pole sana imekula kwako
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
45,839
Likes
16,286
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
45,839 16,286 280
Pole sana!
Mali mlizo chuma pamoja zitagawiwa sawa baini yenu!
*mali ya mwanamke itabaki kuwa yake
*mali ya mwanaume itabaki kuwa yake labda kama mliandikishana ku share hivyo zitagawiwa sawa!

Yakupasa kusubili mwenendo wa case na utapata haki yako!

Ulifanya kosa kumpa vitu kabla ya kufata taratibu za kisheria!

Msaada wa kisheria jamani. nina mke tumetengana zaid ya miaka miwili. tulioana 2008 na tunamtoto mmoja.hatukubahatika kuwa na maelewano mazur kwan kwao wana jeuri, pesa na mali nyingi nami sina elimu wanayohitaj mume wa mwanao awe nayo.
mwez mmoja baada ya ndoa mke aliniaga anaenda Nje kusoma. sikumuelewa na alichokifanya ni kuondoka bila kuaga na akaacha pete ya uchumba na ndoa mezani.

Amerudi nimempeleka baraza la usuruhish ili tutengane rasmi.kwa sasa kesi iko mahakaman. nimempa kila kitu cha ndan. nimebaki na kitanda tu ila bado anadai kibanda changu(nyumba) iuzwe tugawane sawa. ukweli nyumba alinikuta nayo naye hakua na kazi ila kilicho ongezeka ni umeme na maji tu navyo niliuweka kipindi hayupo.
hapo haki ikoje? na naskia fununu kwamba baba mkwe ndo anataka kuinunua ili anikomeshe.
Naomben Msaada wa kisheria wanajamii wenzangu mtoto yupo kwao ila napeleka pesa ya matunzo kila mwezi.
 
Ngambo Ngali

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Messages
3,268
Likes
201
Points
160
Ngambo Ngali

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2009
3,268 201 160
Pole sana!
Mali mlizo chuma pamoja zitagawiwa sawa baini yenu!
*mali ya mwanamke itabaki kuwa yake
*mali ya mwanaume itabaki kuwa yake labda kama mliandikishana ku share hivyo zitagawiwa sawa!

Yakupasa kusubili mwenendo wa case na utapata haki yako!

Ulifanya kosa kumpa vitu kabla ya kufata taratibu za kisheria!
Hivyo sheria ya ndoa ilibadilishwa Mimi nilidhani mgao sio lazima uwe nusu kwa nusu.
 
F

Frankness

Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
66
Likes
0
Points
0
F

Frankness

Member
Joined Aug 24, 2011
66 0 0
Ndugu, sheria ya ndoa imebainisha kwamba mali mtakazochuma wanandoa ndizo mtakazogawana pindi mkitalikiana, lakini mali ambayo uliikuta kwa mwenzi wako au alikuja nayo, itabaki kuwa yake, hvyo mahakama itakupa haki ndugu....
 
M

mawazoni

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
27
Likes
1
Points
0
M

mawazoni

Member
Joined Nov 25, 2012
27 1 0
mi alinikuta na nyumba. bahat mbaya akiwa hayupo nkaongeza umeme na maji vp anahusika?
 
Ngigana

Ngigana

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
1,381
Likes
491
Points
180
Ngigana

Ngigana

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
1,381 491 180
Msaada wa kisheria jamani. nina mke tumetengana zaid ya miaka miwili. tulioana 2008 na tunamtoto mmoja.hatukubahatika kuwa na maelewano mazur kwan kwao wana jeuri, pesa na mali nyingi nami sina elimu wanayohitaj mume wa mwanao awe nayo.
mwez mmoja baada ya ndoa mke aliniaga anaenda Nje kusoma. sikumuelewa na alichokifanya ni kuondoka bila kuaga na akaacha pete ya uchumba na ndoa mezani.

Amerudi nimempeleka baraza la usuruhish ili tutengane rasmi.kwa sasa kesi iko mahakaman. nimempa kila kitu cha ndan. nimebaki na kitanda tu ila bado anadai kibanda changu(nyumba) iuzwe tugawane sawa. ukweli nyumba alinikuta nayo naye hakua na kazi ila kilicho ongezeka ni umeme na maji tu navyo niliuweka kipindi hayupo.
hapo haki ikoje? na naskia fununu kwamba baba mkwe ndo anataka kuinunua ili anikomeshe.
Naomben Msaada wa kisheria wanajamii wenzangu mtoto yupo kwao ila napeleka pesa ya matunzo kila mwezi.
Wakati unamwoa hukumwambia kuwa wewe hukusoma? au ulidanganya na akaja kugundua ameuziwa mbuzi kwenye gunia? Ni vizuri kuwa mkweli!
 
tanga kwetu

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,180
Likes
1,163
Points
280
tanga kwetu

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,180 1,163 280
kama uko Dar, pitia duka la vitabu vya serikali pale Jamhuri Street pale Posta ujinunulie kitabu cha Law of Marriage Act. Wakati nina kesi ya talaka na mwenzi wangu nilinunua pia nikawatembelea sana mawakili kwa ushauri (wengi dar hufanyan 10,000/= for a reasonable time of discussion) simaanishi kumkodisha bali kupata ushauri wa kisheria. wakati wa mgawanyo wa mali, kipengele cha nguvu aliyotumia mwenza katika kufanikisha kupatikana kwa hiyo mali pia huwa considered. Pia nashauri usikubali mtoto alelewe na third party (bibi au babu yake), kama mama hana uwezo wa kukaa naye na wewe una uwezo wa kukaa nae, mdai mtoto hata kama ana miaka chini ya saba.
 
yatima

yatima

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
354
Likes
8
Points
0
yatima

yatima

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
354 8 0
Kinachoshangaza ni kuwa - unadai kwao wana "jeuri ya fedha/mali" SASA ILIKUWAJE WAKAKUKUBALI HADI MKAFUNGA NDOA??? AU ULIMDANGANYA BINTI KUWA WEWE UKO JUU - NA ALIPOGUNDUA AKAAMUA KUONDOKA NA KUKUACHIA HADI PETE YA NDOA???

Sio rahisi - mtu afunge ndoa mpeane hadi pete - halafu akuachie pete mezani................. JICHUNGUZE KASORO ZAKO KABLA YA KUDHANI NI ISSUE YA MALI NA UTAJIRI ............ ILI KUPATA USHAURI ..........sema ukweli na FUNGUKA ZAIDI:frown::frown:
 
M

mawazoni

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
27
Likes
1
Points
0
M

mawazoni

Member
Joined Nov 25, 2012
27 1 0
Naomba tufahamiane ndugu. kwa comment yako nahis we ndo bamkwe wangu. vinginevyo itakuwa kweli dunian wawili wawili.
 
waubani

waubani

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
520
Likes
36
Points
45
waubani

waubani

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
520 36 45
Kwanini mzungumziae habari ya kugawana mali na ilhali bado mna mtoto?
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Likes
87
Points
145
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 87 145
Mpe na hicho kitanda asepe zake,We lala kwenye mkeka ila nyumc si yake mana amekukuta nayo
 
T

TRUSTWORTHINESS

Member
Joined
Oct 3, 2012
Messages
7
Likes
0
Points
0
T

TRUSTWORTHINESS

Member
Joined Oct 3, 2012
7 0 0
WE sio mahakama hadi kuamua kugawa mali kabla ya talaka. ila kumbuka sheria f.114 sheria ya ndoa inazungumzia mgawanyo sawa wa mali zilizochumwa kwa juhudi za pamoja ndani ya pamoja. hivyo mgawo wenu wa mali ni zile mlizochuma kwa pamoja tu.
 
M

mawazoni

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
27
Likes
1
Points
0
M

mawazoni

Member
Joined Nov 25, 2012
27 1 0
kama uko Dar, pitia duka la vitabu vya serikali pale Jamhuri Street pale Posta ujinunulie kitabu cha Law of Marriage Act. Wakati nina kesi ya talaka na mwenzi wangu nilinunua pia nikawatembelea sana mawakili kwa ushauri (wengi dar hufanyan 10,000/= for a reasonable time of discussion) simaanishi kumkodisha bali kupata ushauri wa kisheria. wakati wa mgawanyo wa mali, kipengele cha nguvu aliyotumia mwenza katika kufanikisha kupatikana kwa hiyo mali pia huwa considered. Pia nashauri usikubali mtoto alelewe na third party (bibi au babu yake), kama mama hana uwezo wa kukaa naye na wewe una uwezo wa kukaa nae, mdai mtoto hata kama ana miaka chini ya saba.
Thanks. mawazo yako endelevu asbh ntaamkia huko.
 
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
593
Likes
39
Points
0
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
593 39 0
Kwa ninachokijua ni kwamba kama mali yoyote.mliyochuma pamoja ndiyo inagawanywa na si vinginevyo
 
Polisi

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,090
Likes
40
Points
145
Polisi

Polisi

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,090 40 145
Ndugu, sheria ya ndoa imebainisha kwamba mali mtakazochuma wanandoa ndizo mtakazogawana pindi mkitalikiana, lakini mali ambayo uliikuta kwa mwenzi wako au alikuja nayo, itabaki kuwa yake, hvyo mahakama itakupa haki ndugu....
Naomba ufafanuzi kuhusu hili. Mwanangu walitengana na mkewe mwaka 2008 yaani mkewe akaenda kwa wazazi wake dar na yeye akaendelea na maisha yake mwanza. Hivi sasa shauri limetoka baraza la usuluhishi na linatakiwa kwenda mahakamani. Hapa kati kati, yaani toka 2008 hadi sasa mwanangu kuna vitu amevifanya ikiwemo kununua mashamba, usafiri na kujenga nyumba. Mkewe hajawahi fika mwanza tangu aondoke 2008 ila huwa anasikia tu kuwa mume wake amefanya hiki na kile. Swali langu
1. Wakati wa kugawana mali utaratibu gani unatumika kutambua mali za wanandoa?
2. Mfano mwanangu akiamua kuficha baadhi ya mali na mkewe akawa anasema kuna kitu fulani mume wangu anacho, jukumu la kuthibitisha ukweli wa mali hiyo ni la nani?
Naomba msaada kwa hilo
 
Forum statistics

Threads 1,249,764
Members 481,045
Posts 29,710,972