buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,997
- 7,067
Samaanini sana wadau
Nilikua nahitaji mwenye kujua mchoro wa circuit ya umeme ambayo inamuunganiko wa diode(light) transistor , capacitor na device nyngne nimeishau ila hiyo circuit mwisho wa siku inafanya kazi ya kuwasha na kuzima taa inapishana kama sekunde ivi
Nataka kukonect dot niunde kitu fulani ambacho kinaweza kushangaza watu
Note huo mchoro wa circuit nilikua nao pamoja na michoro mingine ila kwa bahat ilipotea katika mazingira tata kidogo
Plz naomba kama huna mchango usichangie kitu nenda ukacoment kwenye ule uzi wa like