Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mimi hua natumia hii pia na nijishaziosha nachuja nazi lile tui bubu najimwagia kwenye nywele hapo kwenye mafuta ya nazi hua napendelea zaidi mafuta ya maji kuliko ya mgando mafuta ya naz kwangu ndio hua nayaona hayaniletei mba
Mba kichwani kuchua kitunguu maji kisage upate juisi yake na saga tangawizi upate vijiko viwili juisi yake na asali vijiko viwili tia kichwani fanya massage kisha vaa mfuko wa nailoni nusu saa kisha osha kichwa chako.
Mafuta ya nazi yanaleta mba kichwani acha kutumia tumia mafuta ya mnyonyo,zaituni na parachichi
 
Mimi hua natumia hii pia na nijishaziosha nachuja nazi lile tui bubu najimwagia kwenye nywele hapo kwenye mafuta ya nazi hua napendelea zaidi mafuta ya maji kuliko ya mgando mafuta ya naz kwangu ndio hua nayaona hayaniletei mba
Tui bubu nafanyia treatment nachanganya na hina.
Mafuta ya nazi yananiletea mba nikitumia huwa nafanyia treatment ya hot oil tu.
Nywele natumia shea butter nimechanya na black castro oil
 
Tui bubu nafanyia treatment nachanganya na hina.
Mafuta ya nazi yananiletea mba nikitumia huwa nafanyia treatment ya hot oil tu.
Nywele natumia shea butter nimechanya na black castro oil
mimi huwa nafanya tui lenyewe lile zito na hiyo kitunguu na tangawizi napakaa maji yake kwenye ngozi ya kichwa mafuta yangu makubwa ni ya nazi ya nywele mba unapungua nikiwekaga dawa hua naprefer yale ya parachichi sema now a days sipendelei dawa so niko natural zaidi natumia ya nazi
 
Habarini wana jf mimi nina nasumbuliwa na mba wa kichwani nimejitahidi kunyoa ili nywele zisirefuke lakini hamna tu,kwa wenye uelewa na kitu hiki karibuni
 
habarini wana jf mimi ni me nasumbuliwa na mba wa kichwani nmejitahi kunyoa ili nywele zisirefuke lakini hamna tu,kwa wenye uelewa na kitu hiki karibuni
Mba hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa "dead cell" tafuta mafuta ya kupaka kichwani yanaitwa Movt utayapata katika maduka yanayouza vipodozi,au unaweza kutumia Limao au ndimu kujipakaa kichwani kabla ya kuosha nywele,

Pia jaribu kubadili vifaa unavyotumia kunyolea nywele au badili salon unayoitumia kwenda kunyoa nywele.
 
Habari ya wakati huu, kama kichwa kinavyojieleza nasumbuliwa na hili tatizo kwa muda sasa bila kujua sababu halisi na tiba kamili ya hili tatizo mwanzoni nilihisi ni maji kwani maji tunayotumia ni yana chumvi sana na sababu nyingine kadha wa kadha kwa wale ambao mnalielewa vizuri hili tatizo na tiba yake naomba kushare nanyi ili nipate chochote,na ikiwezekana niondokane kabisa na kadhia hii.
Nawasilisha
Hata mie napitia kadhia hii, kuna kipindi kuna dawa nilitumia mba ukapotea kabisa sasa jana naenda kunyoa upara daaaah hatari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu wadau, nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio.

Naombeni Msaada na ushauri wenu
 
Usipende kufuga nywere nyoa kipara tu aisee kama ni mwanaume ila kama ni mwanamke pendelea kuziosha salun mara kwa mara
 
Hbr za majukumu wadau,nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio,naombeni Msaada na ushauri wenu
Tafuta mafuta ya nywele yanaitwa VIRGIN yanaweza kukusaidia...
 
Tafuta mafuta ya nywele yanaitwa VIRGIN yanaweza kukusaidia...
Virgin
1557600875295.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom