Msaada wa mba kichwani

L

losiraa

Member
Joined
Nov 17, 2018
Messages
34
Points
95
L

losiraa

Member
Joined Nov 17, 2018
34 95
Hbr za majukumu wadau,nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio,naombeni Msaada na ushauri wenu
 
Daniel Albert

Daniel Albert

Member
Joined
Apr 29, 2019
Messages
21
Points
45
Daniel Albert

Daniel Albert

Member
Joined Apr 29, 2019
21 45
Usipende kufuga nywere nyoa kipara tu aisee kama ni mwanaume ila kama ni mwanamke pendelea kuziosha salun mara kwa mara
 
L

losiraa

Member
Joined
Nov 17, 2018
Messages
34
Points
95
L

losiraa

Member
Joined Nov 17, 2018
34 95
Ni mwanaume.huwa sikai na nywele ndefu naziosha kwa kutumia brush lakini hali bado
Usipende kufuga nywere nyoa kipara tu aisee kama ni mwanaume ila kama ni mwanamke pendelea kuziosha salun mara kwa mara
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
1,423
Points
2,000
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
1,423 2,000
Nafatilia Uzi tiba zikipatikana nami nijitibu
 
O

ozigizaga

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
143
Points
225
O

ozigizaga

Senior Member
Joined Sep 6, 2013
143 225
Hbr za majukumu wadau,nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio,naombeni Msaada na ushauri wenu
Tafuta mafuta ya nywele yanaitwa VIRGIN yanaweza kukusaidia...
 
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
1,707
Points
2,000
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
1,707 2,000
Tumia Kuza ni mafuta mazur sana
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
5,047
Points
2,000
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
5,047 2,000
Nyoa nywele zote yaani fresh ya unga, au para! Au dongo, au lami. Then nenda Pharmacy nunua dawa inaitwa Sonaderm. Paka 1x2 kila baada ya kuoga asbh na jioni. Hakikisha unakausha kichwa vzr na usipake mafuta kichwa kabla au baada ya kupaka dawa.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,607
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,607 2,000
Hbr za majukumu wadau,nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio,naombeni Msaada na ushauri wenu
wewe huwa unapona ila tu unaajiambukiza tena.
Kuchangia kofia, kitana/chanuo, provers, na kupitia saluni zisizozingatia usafi.

Dawa, kuna mdau kashauri utumie sonaderm hapo juu, tumia hiyo ioa ongeza na vidonge vya griseofulvin kidonge cha 500mg kunywa mara 2 kwa siku kwa mwezi mzima.
 
Forum statistics

Threads 1,295,917
Members 498,479
Posts 31,227,972
Top