Msaada wa mawazo

Jul 22, 2011
19
2
Nimesoma EGM na nimepata 3.13 yaani
economics D
geog E
a.math D. Sasa wakuu naombeni ushauri wenu nisome coz gan nzuri kulingana na matokeo hayo.Asante.
 
Mkuu kama unaipenda future yako,omba kozi za economics au bcom za udsm au Baf ya mzumbe.
 
Back
Top Bottom