joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
habari ndugu zangu jf,naomba mchango wenu wa mawazo mie nina laki saba tu ingawa ni pesa ndogo sana,ila nataka nizungushe inizalishie kidogo kidogo na nilifikili nijumue nguo kidogo hasa hizi jezi za chelsea na man u then nikauze huko bush sana sumbawanga vijijini kwenye minada mana mimi niko mbeya mtaji wangu ndo huo tu,nitakuwa sahihi nikifanya hiyo au nifanyeje?