Msaada wa mawazo

ElBaradei

Member
May 4, 2017
40
14
Wakuu habari za muda nimepost hii kuomba msaada wa mawazo yenu ili tuweze kumsadia huyu ndugu yetu. Wadau ni kwamba huyu dogo amemaliza chuo muda mrefu pale TIA Dar Accountancylakini mpaka sasa hajapata ajira licha ya kuomba kazi zaidi ya mara 300.

Na tukajaribu kumshauri afanye biashara lakini changamoto inakuja kwamba hana mtaji amekata tamaa kabisa na hana matumaini ya kuajiriwa wala kujiajiri. Wakuu naombeni mawazo tumsaidie ili asije akafikia hatua ya kucommit suicide karibuni kama huna mchango wala ushauri ni bora kunyamaza Asanteni.....
 
aombe mtaji japo mdogo tu kwa ndugu hata 10000 anaweza kuanza na biashara ya kuuza mayai yakuchemsha na karanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom