mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
weka screenshot hapa
Inakuja hivi
Kaka angalia kwa chin kabisa kuna neno EXIT ukiacha hiyo existinghapo mbona rahisi sana, ni kwamba ukireset simu huwa account ya google inaondoka. account hii ni muhimu sana kwa simu za android, bila hiyo account hutoweza kutumia playstore.
sasa cha kufanya.
kama tayari unayo account ya gmail , bonyeza hapo EXISTING na uingie kwa account yako, wakati unaLogin itakuambia login kwenye browser kwanza. Fungua Browser ndio uLogin.
kama huna account ya gmail, tumia computer kufungua account ndio urudi kwenye simu kuingia
Ukipress exit inagoma au VP .....sjui lkn cm yangu pia ni tecno nili root kuna cku iliisha chaj ikazima ile kuiwasha ikawa inaniletea option za ajab ajab alaf inagoma kufanya chochote hata nikitoa battery ...nilichofanya niliichaj ile battery kwa Kobe ..tatizo likawa solvedHabari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Yaan akiwasha data tu ilo neno EXIT linatokea nalikishatokea hilo neno simu inakuwa kama imestuk,mbaka niminimize hiyo page niliyofunguaUkipress exit inagoma au VP .....sjui lkn cm yangu pia ni tecno nili root kuna cku iliisha chaj ikazima ile kuiwasha ikawa inaniletea option za ajab ajab alaf inagoma kufanya chochote hata nikitoa battery ...nilichofanya niliichaj ile battery kwa Kobe ..tatizo likawa solved
Hebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.Yaan akiwasha data tu ilo neno EXIT linatokea nalikishatokea hilo neno simu inakuwa kama imestuk,mbaka niminimize hiyo page niliyofungua
Jaribu uweke app ya adfree kwa kuitafuta google. Baada ya kuinstall uifungue ili kufuata process zake, reboot simu yako kama tatizo litaendelea inabidi uiflash kwa rom mpya.Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
pengine ni malware(virusi) fanya hiviKaka angalia kwa chin kabisa kuna neno EXIT ukiacha hiyo existing
angalia hio screenshot chini kabisa kwenye background nyeupe na sio maneno yaliyo kwenye background nyeusiHebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
Mkuu tofautisha exist na exitHebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
Huyo ni malware tayar... Kumtoa kwa urahisi ni kwakutumia ghost push killerHabari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Kaka usiwe mbishi naomba na wewe uwe muelewa mimi siongelei neno EXISTING angalia hiyo screenshot vizur kwa chini kuna neno EXIT likashotekea hilo neno simu inastuk yaan uwez hata ingiza gmail account sababu kioo kinakuwa akifanyi kaziHebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
Poa kaka nitaleta majibu ngoja niangalie,kwenye adminstrator kuna neno hilo kwenye running apps hhamna application ya ajabu wala iliyokula mb nyingipengine ni malware(virusi) fanya hivi
-nenda setting halafu security halafu device administrator niangalizie kuna nini na nini
-nenda setting halafu application halafu running pia angalia hakuna app inakula ram nyinginyingi yenye jina la ajabu ajabu?