Msaada wa mawazo yenu

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
 
Attachments

  • Screenshot_2016-07-20-13-12-15.png
    Screenshot_2016-07-20-13-12-15.png
    7.5 KB · Views: 31
Inakuja hivi

hapo mbona rahisi sana, ni kwamba ukireset simu huwa account ya google inaondoka. account hii ni muhimu sana kwa simu za android, bila hiyo account hutoweza kutumia playstore.

sasa cha kufanya.
kama tayari unayo account ya gmail , bonyeza hapo EXISTING na uingie kwa account yako, wakati unaLogin itakuambia login kwenye browser kwanza. Fungua Browser ndio uLogin.

kama huna account ya gmail, tumia computer kufungua account ndio urudi kwenye simu kuingia
 
Kaka angalia kwa chin kabisa kuna neno EXIT ukiacha hiyo existing
 
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Ukipress exit inagoma au VP .....sjui lkn cm yangu pia ni tecno nili root kuna cku iliisha chaj ikazima ile kuiwasha ikawa inaniletea option za ajab ajab alaf inagoma kufanya chochote hata nikitoa battery ...nilichofanya niliichaj ile battery kwa Kobe ..tatizo likawa solved
 
Yaan akiwasha data tu ilo neno EXIT linatokea nalikishatokea hilo neno simu inakuwa kama imestuk,mbaka niminimize hiyo page niliyofungua
 
Hebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
 
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Jaribu uweke app ya adfree kwa kuitafuta google. Baada ya kuinstall uifungue ili kufuata process zake, reboot simu yako kama tatizo litaendelea inabidi uiflash kwa rom mpya.
 
Kaka angalia kwa chin kabisa kuna neno EXIT ukiacha hiyo existing
pengine ni malware(virusi) fanya hivi
-nenda setting halafu security halafu device administrator niangalizie kuna nini na nini
-nenda setting halafu application halafu running pia angalia hakuna app inakula ram nyinginyingi yenye jina la ajabu ajabu?
 
Hebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
angalia hio screenshot chini kabisa kwenye background nyeupe na sio maneno yaliyo kwenye background nyeusi
 
Hebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
Mkuu tofautisha exist na exit

Shida ni exit hyo apo chini... Unachofikiria ww ni tofaut na hilo tatizo...
 
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Huyo ni malware tayar... Kumtoa kwa urahisi ni kwakutumia ghost push killer
 
Hebu kuwa muelewa soma vizuri hayo maneno utaelewa kitu, Hapo unaitajika uweke gmail ac, km unayo press existing km hauna press new na ufate maelekezo na wala hilo sio tatzo km unavyofikiria.
Kaka usiwe mbishi naomba na wewe uwe muelewa mimi siongelei neno EXISTING angalia hiyo screenshot vizur kwa chini kuna neno EXIT likashotekea hilo neno simu inastuk yaan uwez hata ingiza gmail account sababu kioo kinakuwa akifanyi kazi
 
pengine ni malware(virusi) fanya hivi
-nenda setting halafu security halafu device administrator niangalizie kuna nini na nini
-nenda setting halafu application halafu running pia angalia hakuna app inakula ram nyinginyingi yenye jina la ajabu ajabu?
Poa kaka nitaleta majibu ngoja niangalie,kwenye adminstrator kuna neno hilo kwenye running apps hhamna application ya ajabu wala iliyokula mb nyingi
 
Attachments

  • Screenshot_2016-07-21-12-25-35.png
    Screenshot_2016-07-21-12-25-35.png
    7.5 KB · Views: 26
Back
Top Bottom