msaada wa mawazo wana-JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo wana-JF

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchakachuaji192, Nov 17, 2010.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  wadau poleni na mihangaiko inayotuweka mjini, naomba mwenye ujuzi au uelewa wa malighafi inayotumika katika utengenezaji wa vioo anijulishe jamani, na je hapa kwetu Tanzania kuna kiwanda kinachohusika na utengenezaji wa vioo au ndio hadi tuagize ughaibuni? Je kama malighafi zinapatikana kwa urahisi ni kikianzishwa hapa Tanzania kinaweza kulipa? Ninasema hivi utengenezaji wa vioo kutokana na kuwa ni miongoni mwa bidhaa muhimu zinazotumika miongoni mwa shughuli za ujenzi wa hasa wa siku hizi na kwa baadae nahisi itakuwa inalipa sana, naomba ushauri wako VS mchango wa mawazo kwa katika hili jambo,
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Tafuta mfanyakazi wa Kioo Ltd pale Nyerere Road nyuma ya Alaf, atakupa detail zote za malighafi, soko la vioo wanavyozalisha,malighafi nk.
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Thanks ndugu yangu nitafuata ushauri wako kama ulivyonishauri,
   
 4. N

  NGAUTI Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  si vibaya ukipata majibu toka huko kiwandani ukatupatia nasi elimu hiyo, asante.
   
 5. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hakuna shida mkuu nitawawekea hapa details nitakazopewa huko
   
Loading...